Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Nimekubaliana na wewe kwenye yote ila hapo kwa mpenzi, he is just a young boy
Miaka 17 mnamuona mdogo?, nitakupa mfano hai, mimi nimejua ishu za mapenzi nikiwa hata sijafikisha umri wa huyo kijana. Wazazi wengi huwa hawataki kuamini kuwa wanao wanawaza mambo ya mapenzi. Ila ukwel ni kwamba wanayawaza na wanayajua vizuri.
 
Ukiona mwanao hawezi kucheka mbele yako inabidi ujitafakari upya kiongozi, kuna kitu kikubwa hakipo sawa kati yenu..... Mkuu hapa umeua kbs! nakumbuka mshua wangu alikuwa ni aina hii ya mzazi ambae huwezi kuachama ukacheka mbele yake, wala kumuomba ushauri ama kushauri chochote mbele yake, hadi tumekuwa watu wazima mahusiano ni mabovu kbs. kila mmoja anajali mambo yake!
Watu wengi wanafikiri hadi sasa malezi ya ukali mwingi ni jambo la maana kumbe ni kuharibu tu uhusiano kati yao.
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Umeligungua lini tatizo LA kijana wako?
 
Tuanze na lishe unayompatia nyumbani, je ni mlo kamilii?.

Twende kwenye malezi unayompa hapo nyumbani, je ni malezi ya kumfanya aweze kujitegemeaa?

Tuelekee kwenye lugha ya mawasiliano kati yenu, je huwa unamkaripia/kumgombeza mara kwa mara?

Je, kwa wastani mwili wake upoje, je ni mnene, mkakamavu au lege lege?

Vipi anashiriki michezo yoyote shuleni kwao au hata hapo mtaani?.

Ni mwanao wangapi kuzaliwq kwenye hiyo familia yako?.

Graph yake ya makuzi kadi ya clinic ilikuwaje au ipoje kama bado upo nayo? (Ni muhimu sana kutunza hiyo kadi)

Ukimaliza hayo yote, vipi mwanao huyo ana mpenzi? Kama hana wewe kama baba yake umemsaidiaje hilo swala?. (Usishangae ni jukumu lako mshua)

Ukiona mwanao hawezi kucheka mbele yako inabidi ujitafakari upya kiongozi, kuna kitu kikubwa hakipo sawa kati yenu.

Tafakari hayo machache Mkuu mwenzetu, kila la heri.
Mzee wngu alikuwa mwanajeshi wale wa kizamani. Ukali uliopitiliza mpaka kwa familia yake.
Athari ya malezi yake nimejitahidi wangu niwalee tofuti.

Mzazi na mwalimu wanaweza kuwa tatizo kwa makuzi ya mtoto
 
Kabisa Mkuu
 
hayupo huru mbele yako, unapoongea nae hofu inamtawala zaidi, hii inaathiri hata majibu anayokupa.

Huyo mtoto wako hana tofauti na uhusiano wangu na kaka yangu, kanizi mkaka 7, alikuwa ananionea sana udogoni makonzi, vibao, vitisho, n.k. sikuweza kuwa huru nae kabisa lakini alipokuja kaka mwengine kimasomo ambae ni ndugu wa kijijini nilikuwa huru sana kwake kwenye maongezi hadi kaka yangu wa damu anashangaa mbona naongea vizuri nikiwa na kaka mwengine. nina 36 kaka yangu hadi leo inaweza kupita miezi hatujawasiliana.

Mbaya zaidi hata ukiacha ukoloni umeshamuharibu kisaikolojia, ni ngumu kumfanya awe huru mbele yako
Isije ikawa jamaa ni aina ya wazazi ambao wanaendesha familia kikoloni yaani anakuwa mkali kupitiliza ili aogopwe na watoto,hakuna urafiki wa mtoto kujieleza,au si hivyo labda mtoto amelelewa na mama wa kambo akawa anamtesa hiyo inamuharibu mtoto kisaikolojia.
Kama ni hali hiyo huwa inaondoka mtoto akishaanza maisha yake binafsi kwenye eneo tofauti na nyumbani au akimpeleka shule ya boarding atachangamka.
 
Anaweza

90% Anaweza kuwa na tatizo la hearing loss huyo (ana tatizo la usikivu hafifu)
Hii pia ni moja ya sababu ambayo inabidi aichunguze,ampeleke hospital kwa ENT Specialist watampima na kujua kiwango chake cha usikivu.
Watu wenye full hearing loss or partial hearing loss huwa hawapendi disturbance ya kuongeleshwa kila wakati.
Lakini pia unaweza ukamuuliza swali akakujibu kama vile alikusikia swali lako wakati kumbe hakusikia ulichokisema ila anakisia tu.
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Wakati unamchagua mama ake ulijua kiwango cha elimu ya mama ....

Mimi nimekatalia kuzaaa na mtu alifeli form four kabisa

Kumbuka akili ni za kurithi
 
Unamdiss sana
Na hapa ndio tatizo lilipo. Huyu jamaa kwa huu Uzi tu, inaonesha ana hulka ya kujikweza na kudharau wengine. Sasa mtoto wake mwenyewe anamtweza hivi, na si ajabu hata hana tatizo, ila ni hulka yake tu inapelekea amuone mtoto kuwa hayuko sawa.
 
Isije ikawa jamaa ni aina ya wazazi ambao wanaendesha familia kikoloni yaani anakuwa mkali kupitiliza ili aogopwe na watoto,hakuna urafiki wa mtoto kujieleza,au si hivyo labda mtoto amelelewa na mama wa kambo akawa anamtesa hiyo inamuharibu mtoto kisaikolojia.
Kama ni hali hiyo huwa inaondoka mtoto akishaanza maisha yake binafsi kwenye eneo tofauti na nyumbani au akimpeleka shule ya boarding atachangamka.
Na jamaa hakuwa karibu na mtoto zaidi ya kukaripia mambo ya elimu. Sasa anajaribu kuwa karibu naye, wakati umemtupa mkono, anamuona hayuko sawa .
 
Na jamaa hakuwa karibu na mtoto zaidi ya kukaripia mambo ya elimu. Sasa anajaribu kuwa karibu naye, wakati umemtupa mkono, anamuona hayuko sawa .
Yeah hiyo hali inatesa sana kisaikolojia unakuta mtoto akienda shule anakutana na mwalimu wa mathe anawashiwa moto na akirudi nyumbani anakutana na mzazi mkoloni anawashiwa moto tena mwisho wake anakosa kimbilio na kupata huzuni.
 
Nasikitika kwamba mtoto huyo lishe hakupata ipasavyo. Hapo mafuta ya samaki ndio ilikuwa mchawi.
Sorry HAYO mafuta ya samaki "in case" mtoto akipewa yanamjenga HADI akiwa na umri Gani?. Je miaka minne yanaweza Bado kufanya kitu au limitation ni miaka 2 kama ilivyo kawaida?
 
“Remember that people who see things and think one way often have difficulty communicating with and relating to people who see things and think another way” … Dalio
 
Back
Top Bottom