Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #41
mkuu huu ndo mchango wako kwene uzi huuLahaula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huu ndo mchango wako kwene uzi huuLahaula
Nasikitika kwamba mtoto huyo lishe hakupata ipasavyo. Hapo mafuta ya samaki ndio ilikuwa mchawi.hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Okay, sikufundishi kazi au malezi ila ebu jaribu kumuachia mama iyo kazi kwa miezi kadhaa.mapenzi no hana hizo mambo hata kubalehe vizuri bado!!
zamani alikua muongo muongo vikatembea viboko had akaacha ila hilo la shule shida ipo tangu zamani !!
Ukikagua daftari lake lazima upate hasira
Mfano; kwene daftar amepata ila swali lile lile umpe afanye hawezi! hapo ndipo fimbo zilipoanza kuhusika
Hili jibu linaonyesha pia wewe hutumii common sense kama mwanao😡sawa zaa wako umlee kidigitali
Dogo ni geti kali?Kazi ni mvuvu sasa sijuagi ana talent gan??
uvivu inaweza kua talent
mkuu hapa na social media so kuna vichaa usipokua unatoa povu unaweza kufa na pressure!!….Hili jibu linaonyesha pia wewe hutumii common sense kama mwanao😡
anapewa uhuru hamna cha geti kaliDogo ni geti kali?
Ni vigumu kujua mtoto ana tatizo, na si mzazi, kama mzazi katoa upande wake tu, tena kwa tafsiri yake, bila mifano hai ya kilichosemwa na mtoto, majibu, maswali, maelezo etc.Kiranga kama kiranga
Interesting...Ukimaliza hayo yote, vipi mwanao huyo ana mpenzi? Kama hana wewe kama baba yake umemsaidiaje hilo swala?. (Usishangae ni jukumu lako mshua)
Sawaanapewa uhuru hamna cha geti kali
Kazi ni mvuvu sasa sijuagi ana talent gan??
uvivu inaweza kua talent
mkuu naona uko well Educated kwene mambo za temperamentKabla ya kusema hayupo smart tuanzie hapa kwanza.
Yupo logically - ana uwezo wa Ku-reason mambo , mfano unaweza mwambie aende sehemu Ila yeye akakataa kwa kukupa sababu zenye mashiko na ukamkubalia?
Angalia kuhusu temperament (silika) mtoto wako ni introvert au extrovert
Kuna utofauti wa kuwa mkimya na kupendelea kukaa kimya hivyo angalia haiba yake .
MTU mkimya huwa Ana monology na MTU ambaye upendelea kukaa kimya hana monology.
Ikiwa mtoto wako ni intovert MTU mkimya basi smartest yake haiwezi kusomeka haraka kupitia kuongea bali kupitia matendo na kuandika.
Tufanye nini ili kijana awe smart.
Ikiwa temperament (silika) yake ni introvert basi muwekee mazingira ya kumjenga .
Anza na kumpa wisdoms words -maneno ya hekima.
Mjenge kakili na kihisia
Mtafutie vitabu vyenye personal growth
Anza kutambua strength zone yake. Ikiwa anapenda jambo Fulani mfano labda anapenda udaktari anza kumuwekea mazingira ya yeye kuwa daktari.
Msikilize na ukiona anazubaa jaribu kumuwekea mazingira ambayo yatamfanya kuwa comfortable , Quit place.
Nb kuwa smart huwa nimatokeo ya kuwa tabia ya kujifunza kila siku.
Na wewe Kama mzazi usimuhukumu mtoto kuwa sio smart Ila anza na kumjenga kupitia hayo mambo.
NB TV Kama Unayo haifai Sana waweza kumpuguzia muda wa kutazama TV na asome vitabu huku ukimpa motivation .
slow learners wapo, ni kwenda nae taratibu tu na kujaribu kumshughulisha na shughuli nyingi za kufanya, then make sure you demand and ask feedback on each task umempatia ata changamka tu 🐒Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .
Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!
MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average
Nifanyaje kumsaidia
Muulize mama yake kipindi anazaliwa huyo mtoto alilia baada ya muda gani?Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .
Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!
MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average
Nifanyaje kumsaidia
Use your common sense.mkuu hapa na social media so kuna vichaa usipokua unatoa povu unaweza kufa na pressure!!….
lazima uende vile mtu amekuja….,
mkuu nimekuelewa!Majibu yako yote yanaegemea kumuhukumu na kuwa negative kwake.
Hapo tu umeshajijengea picha yako kichwani na huo ndio ukuta unakutenganisha wewe na mwanao
Huwezi kujiuliza mtu anapenda nini au yupo vizuri kwenye nini kama wewe hujawahi muuliza au kukaa nae kwa karibu kujua
Kama kila muda unamuhukumu kiasi cha kujikariri kama mjinga, vipi kama anapenda ubunifu, je atakuwa na ujasiri wa kukuambia anachokipenda bila kusubiria judgement yako
Vipi kama kutokana na kuonekana failure, tayari ana low self esteem kiasi cha kujichukulia kama failure, hiki ni kitu kibaya sasa umejiandaaje kama mzazi kumsaidia
Utamuacha mtoto wako ateketeee au utasimama kiume kumjua na kumpambania maana 17 sio mkubwa sana na hata exposure ya maisha hana. Hivyo, wewe una nafasi ya kucheza hapo
Nilivyokusoma unaonekana ni mzazi flani traditional na unaamini sana katika dhule kutokana na historia yako.
Ila itabidi ukubali umuone mwanao kama alivyo na sio lazma awe reflection ya enzi zako.. That's the only way utaweza kumuelewa, kumthamini, kumpambania na kumjengea ujasiri...
Mfano akirudi likizo, tafuta course ambazo zipo skilled based, iwe computer, graphics, videography etc then mpe option ya kuchagua anachokitaka..
Ukifanya hivyo taratibu utaona sehemu nyingine ya uwezo wake mkuu, usimuhukumu, muelewe na umkubali alivyo maana ni wako
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .
Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!
MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average
Nifanyaje kumsaidia
mkuu siku nae !! amezaliwa nje ya ndoa