Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Sorry HAYO mafuta ya samaki "in case" mtoto akipewa yanamjenga HADI akiwa na umri Gani?. Je miaka minne yanaweza Bado kufanya kitu au limitation ni miaka 2 kama ilivyo kawaida?
Aaha hamna alipokulia kuna watoto wengi naw wote diet n ile ile huyu anaongea tu
 
Yeah hiyo hali inatesa sana kisaikolojia unakuta mtoto akienda shule anakutana na mwalimu wa mathe anawashiwa moto na akirudi nyumbani anakutana na mzazi mkoloni anawashiwa moto tena mwisho wake anakosa kimbilio na kupata huzuni.
amesoma boarding for 3 years
 
hiii ni ngumu kumeza ifafanunue
Binadamu tuko-programmed tofauti , hata yeye akipata mtu anaemuelewa akazungumza naye atasema hueleweki ama hakuelewi … huko juu nimekuuliza somo analopata 67 ni somo gani? 🥃 alafu jibu hili swali hichi kikombe ni half empty au half full.
 
Huyo Sio mwanao kapime DNA kitu cha kwanza mtoto kurithi ni Akili vingine ni Extra.
Aweza kuwa mwanaye kabisaa ila inategemea karithi vinasaba gani vya moja kati ya waliopita na mama huko nyuma. Hii ina maelezo marefu sana.
Kifupi mtoto hana uwezo wa kurudisha kumbumbu kwa haraka
Hafikiri ukimuuliza ana kurupuka kujibu tu.
Huo ufaulu wake tu ni mashaka sasa 30/100 ,
40/100,
50/100 Kiukweli analo tatizo.
Rudi katika makuzi yake utotoni ilikuwaje.
Kachukue kadi ya mama ya clinic kagua alipo jifungua kuna mambo yalijazwa pale
1. mtoto alikuwa ni normal au laa
2. Je mtoto alichelewa kulia??????
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Bila shaka huyu mtoto atakuwa amelelewa na mzazi mmoja. Ninaye ntoto wa shemeji angu nakaa nae hapa. Copy and paste na wako. Ukimwambia hata kazi za mikono ni tatizo ila kulala ana A+, hana rafiki, hana demu, anaumwa hujui, mzima hujui. Hachezi mpira, hana mchezo wowote, lakini nilichokuha kufundua ni malezi aliyokulia ya kubembelezwa kila kitu huko kwa mzazi mmoja.
 
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.

Shuleni ni average sana si mkia maksi zake 46,67,37,50,30 kifupi alipata division 3 .
Kinachonitatiza ni uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mdogo. Maswali ya kawaida ya kutumia common sense hawezi !!
Ukimuelekeza kitu cha kawaida haelewi mara moja had urudie
Ni rahisi kuchanganya vitu na kusahau.
Kifupi anashindwa kujisimamia au kupambanua vitu vya kawaida vya uelewa wa kawaida .

Alafu sometimes anachanganya vitu havihusiani
Ukimuuliza swali anajibu jibu ambalo halina uhusiano na ulichomuuliza!

MIMI MZEE WAKE NIKO VIZURI!Sijui hata karithi kwa nani haya matatizo ,,,, shulen mm nilikua smart siyo sana lakin smart kiasi cha kumlizisha mzazi yyte yule average

Nifanyaje kumsaidia
Kampimeni tu DNA
 
Back
Top Bottom