Mwanangu hawezi kukaa naomba ushauri wa matibabu

Nadhani hapo ulikusudia mwezi mmoja sababu mtoto wa miezi mitatu or minne inatakiwa nyingo tayari iwe imekaza. Sky Eclat,
 
Kwa kawaida mtoto wa mwaka mmoja na nusu yani miezi 18 anatakiwa awe anatembea kama kila kitu kikienda sawa, ila kama alivyosema mdau hapo juu mtoto anaweza kuchelewa kutokana na sababu mbalimbali pia.
Wangu miaka 2
 
Asante
Ushauri wako naufanyia kazi kuanzia sasa
 
Kwa kawaida mtoto wa mwaka mmoja na nusu yani miezi 18 anatakiwa awe anatembea kama kila kitu kikienda sawa, ila kama alivyosema mdau hapo juu mtoto anaweza kuchelewa kutokana na sababu mbalimbali pia.
Kwa vile ni kuchelewa bac nami nazidisha juhudi ya mazoezi
 
Uliyoeleza yote yako sahihi kwa mtoto wangu
Asante sana nitazidisha juhudi ya mazoezi
Kwa hiyo unataka kunambia hakuna njia nyengine ispokuwa mazoezi?
Ndiyo wekeni bidi ya mazoezi. Hitilafu ilishatokea ila mnaweza mkajitahidi kumrudisha taratibu. Ukikwama kwenye mazoezi hapo mkuu hamna namna nyingine
 
Ndiyo wekeni bidi ya mazoezi. Hitilafu ilishatokea ila mnaweza mkajitahidi kumrudisha taratibu. Ukikwama kwenye mazoezi hapo mkuu hamna namna nyingine
Ahsante sana mkuu
 
Sawa mkuu na hili nitalifanyiakazi
Ila mm nipo zanzibar naanzaje hapo sina uenyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…