Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangu miaka 2
AsanteHakuna njia nyingine zaidi ya mazoezi mkuu,ishu ya msingi msimtese mtoto kwa kumpeleka kwa waganga ataharibika,kazania sana mazoezi
Nimehudumia sana watoto wenye shida hizo,ukiwafuatilia wanakuwa safi ila ukiacha hali inakuwa mbaya zaidi cha msingi usichoke mkazanie sana..
Kwa vile ni kuchelewa bac nami nazidisha juhudi ya mazoeziKwa kawaida mtoto wa mwaka mmoja na nusu yani miezi 18 anatakiwa awe anatembea kama kila kitu kikienda sawa, ila kama alivyosema mdau hapo juu mtoto anaweza kuchelewa kutokana na sababu mbalimbali pia.
Ndiyo wekeni bidi ya mazoezi. Hitilafu ilishatokea ila mnaweza mkajitahidi kumrudisha taratibu. Ukikwama kwenye mazoezi hapo mkuu hamna namna nyingineUliyoeleza yote yako sahihi kwa mtoto wangu
Asante sana nitazidisha juhudi ya mazoezi
Kwa hiyo unataka kunambia hakuna njia nyengine ispokuwa mazoezi?
AsantePole sana sana! Sina uzoefu kabisa kwahio naishia kukupa pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
AsantePole sana sana! Sina uzoefu kabisa kwahio naishia kukupa pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfanyisha mazoezi gani?Kwa vile ni kuchelewa bac nami nazidisha juhudi ya mazoezi
Lakini pia jaribu kucheki na CCBRT wanaweza kuwa na msaada sanaAsante
Hata hivyo nimefarijika sana na michango yenu
Barikiwa sana ndugu umejitahidi sana kuchangia ulichonacho kwa ndugu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app