Mwanangu hawezi kukaa naomba ushauri wa matibabu

Mwanangu hawezi kukaa naomba ushauri wa matibabu

Nadhani hapo ulikusudia mwezi mmoja sababu mtoto wa miezi mitatu or minne inatakiwa nyingo tayari iwe imekaza. Sky Eclat,
 
Kwa kawaida mtoto wa mwaka mmoja na nusu yani miezi 18 anatakiwa awe anatembea kama kila kitu kikienda sawa, ila kama alivyosema mdau hapo juu mtoto anaweza kuchelewa kutokana na sababu mbalimbali pia.
Wangu miaka 2
 
Hakuna njia nyingine zaidi ya mazoezi mkuu,ishu ya msingi msimtese mtoto kwa kumpeleka kwa waganga ataharibika,kazania sana mazoezi
Nimehudumia sana watoto wenye shida hizo,ukiwafuatilia wanakuwa safi ila ukiacha hali inakuwa mbaya zaidi cha msingi usichoke mkazanie sana..
Asante
Ushauri wako naufanyia kazi kuanzia sasa
 
Kwa kawaida mtoto wa mwaka mmoja na nusu yani miezi 18 anatakiwa awe anatembea kama kila kitu kikienda sawa, ila kama alivyosema mdau hapo juu mtoto anaweza kuchelewa kutokana na sababu mbalimbali pia.
Kwa vile ni kuchelewa bac nami nazidisha juhudi ya mazoezi
 
Uliyoeleza yote yako sahihi kwa mtoto wangu
Asante sana nitazidisha juhudi ya mazoezi
Kwa hiyo unataka kunambia hakuna njia nyengine ispokuwa mazoezi?
Ndiyo wekeni bidi ya mazoezi. Hitilafu ilishatokea ila mnaweza mkajitahidi kumrudisha taratibu. Ukikwama kwenye mazoezi hapo mkuu hamna namna nyingine
 
Sawa mkuu na hili nitalifanyiakazi
Ila mm nipo zanzibar naanzaje hapo sina uenyeji
 
Back
Top Bottom