Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Mimi Mkinga, yeye Msukuma, sisi wote vyuma
Wale wabunge walioibua hoja na m.kiti wake nimemsahau ila anatokea kusini hawatatokea tena mpaka sisi tuondoke dunia hii.Ubavu wa kuibuka tena 2024-2025 au ubavu wa kupita bila kupingwa?
Tunakutana angani, hamna ngome inaingilika kirahisiKwahiyo mlikutana kilingeni mkuu?
Wewe ulienda Gambosh ama yeye alikuja milimani kwenu?
Wale wabunge walioibua hoja na m.kiti wake nimemsahau ila anatokea kusini hawatatokea tena mpaka sisi tuondoke dunia hii.
Hoja ya utanganyika.Hoja ipi?
Tunakutana angani, hamna ngome inaingilika kirahisi
Anawaonea wanyonge. CHONGOLO ni kinda sanaSasa Kama wote ni miamba kwenye sekta ya uchawi kwanini unalalama kwa ubaya juu ya mwenzio?
Amekuzidi uchawi au wivu/chuki vinasumbua.
Hoja ya utanganyika.
Mwenyekiti ni ni mtu mkubwa sana kwenye Chama !!Ni kweli, mama asipotulia hawa power mongers na machawa wao watamwangusha. Shida yao si kumusaidia bali ni vyeo na ulaji, wengi ni wanafiki.
Anawaonea wanyonge. CHONGOLO ni kinda sana
G55 ya Mheshimiwa Njelu Kasaka !Wale wabunge walioibua hoja na m.kiti wake nimemsahau ila anatokea kusini hawatatokea tena mpaka sisi tuondoke dunia hii.
Mambo ya rohoni kama huyajui piga kimyaChongolo ni kinda? Una hakika?
Umemfahamu lini Chongolo? Na Makonda je?
Halafu Makonda amemuonea vipi Chongolo?
Mambo ya rohoni kama huyajui piga kimya
Hii ndiyo shida ya vijana tulionao. Hawajui kwamba waliounda vyama vya upinzani ni watanzania walewale hisipokuwa wanawaza tofauti na inavyowaza CCM. Wamerithi kasumba mbaya ya Magufuli ya tokuamini ktk nguvu ya hoja. Kwao wao siasa ni matusi, kejeli, kukomoana na ni ugomvi hadi kuuwana. Tukiwaendekeza watu wa aina hii tutaliangamiza taifa. Kila raia ana haki sawa na mwingine, ni bahati mbaya tu wao wanajiona bora kuliko wengine.Nchi ni yetu wote lakini CCM inainadi kama yao wakati tunautafuta uhuru na ujamaa walikuwa hawajazaliwa au wapo kimya. Sasa tunakaa tunaangalia nchi wanaikorofisha na tunakaa kimya, kisha kufirisiwa mali, kunyanganywa vuwanja na zaidi kuambiwa wewe siyo raia kisa umetoka pembezoni.
Usichokijua ni kwamba, ili awe m/kiti kuna watu nyuma yake waliomufanya awe m/kiti. Hasipokuwa na watu sahihi wa kumusaidia ktk huo uwenyekiti wake kesho atakosa watu wa kumfanya awe m/kiti tena.Mwenyekiti ni ni mtu mkubwa sana kwenye Chama !!
Hakuna yeyote wa kumsumbua !
Anachotakiwa ni kuchagua watu sahihi wa kufanya nao kazi Chamani !!
Wengine wote ni porojo tu !
Nguvu ya Mamba ni kwenye maji akiwa nje ya maji ni sawa na mjusi tu !![emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Ndio maana atawaweka karibu yake wale ambao anajua watamsaidia kuwadhibiti wale wasiomtakia mema !!Usichokijua ni kwamba, ili awe m/kiti kuna watu nyuma yake waliomufanya awe m/kiti. Hasipokuwa na watu sahihi wa kumusaidia ktk huo uwenyekiti wake kesho atakosa watu wa kumfanya awe m/kiti tena.
Shida inakuja, atawajuwaje watu sahihi? Aliowaweka mwanzo aliamini kuwa ni watu sahihi lakini baadae amekuja kugundua siyo watu sahihi, hivyohivyo kwa hawa anaowaweka wanaweza wasiwe sahihi. Hii ni Tz ndugu, unafiki na usanii ni mwingi.Ndio maana atawaweka karibu yake wale ambao anajua watamsaidia kuwadhibiti wale wasiomtakia mema !!
Narudia tena ili unielewe “ Atawaweka karibu yake wale ambao anajua watamsaidia kuwadhibiti WALE wasiomtakia mema !!
Hilo nalo neno !! Achange vizuri tu karata zake !Shida inakuja, atawajuwaje watu sahihi? Aliowaweka mwanzo aliamini kuwa ni watu sahihi lakini baadae amekuja kugundua siyo watu sahihi, hivyohivyo kwa hawa anaowaweka wanaweza wasiwe sahihi. Hii ni Tz ndugu, unafiki na usanii ni mwingi.
Duuuh! asante mkuu.Kwani na wewe ni kati ya watu wanaofaa kutiliwa manani? Maana sioni tofauti yako na Bashite