Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Ni kweli, mama asipotulia hawa power mongers na machawa wao watamwangusha. Shida yao si kumusaidia bali ni vyeo na ulaji, wengi ni wanafiki.
Mwenyekiti ni ni mtu mkubwa sana kwenye Chama !!
Hakuna yeyote wa kumsumbua !
Anachotakiwa ni kuchagua watu sahihi wa kufanya nao kazi Chamani !!
Wengine wote ni porojo tu !
Nguvu ya Mamba ni kwenye maji akiwa nje ya maji ni sawa na mjusi tu !!😅😅🙏🙏
 
Nchi ni yetu wote lakini CCM inainadi kama yao wakati tunautafuta uhuru na ujamaa walikuwa hawajazaliwa au wapo kimya. Sasa tunakaa tunaangalia nchi wanaikorofisha na tunakaa kimya, kisha kufirisiwa mali, kunyanganywa vuwanja na zaidi kuambiwa wewe siyo raia kisa umetoka pembezoni.
Hii ndiyo shida ya vijana tulionao. Hawajui kwamba waliounda vyama vya upinzani ni watanzania walewale hisipokuwa wanawaza tofauti na inavyowaza CCM. Wamerithi kasumba mbaya ya Magufuli ya tokuamini ktk nguvu ya hoja. Kwao wao siasa ni matusi, kejeli, kukomoana na ni ugomvi hadi kuuwana. Tukiwaendekeza watu wa aina hii tutaliangamiza taifa. Kila raia ana haki sawa na mwingine, ni bahati mbaya tu wao wanajiona bora kuliko wengine.
 
Mwenyekiti ni ni mtu mkubwa sana kwenye Chama !!
Hakuna yeyote wa kumsumbua !
Anachotakiwa ni kuchagua watu sahihi wa kufanya nao kazi Chamani !!
Wengine wote ni porojo tu !
Nguvu ya Mamba ni kwenye maji akiwa nje ya maji ni sawa na mjusi tu !![emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Usichokijua ni kwamba, ili awe m/kiti kuna watu nyuma yake waliomufanya awe m/kiti. Hasipokuwa na watu sahihi wa kumusaidia ktk huo uwenyekiti wake kesho atakosa watu wa kumfanya awe m/kiti tena.
 
Usichokijua ni kwamba, ili awe m/kiti kuna watu nyuma yake waliomufanya awe m/kiti. Hasipokuwa na watu sahihi wa kumusaidia ktk huo uwenyekiti wake kesho atakosa watu wa kumfanya awe m/kiti tena.
Ndio maana atawaweka karibu yake wale ambao anajua watamsaidia kuwadhibiti wale wasiomtakia mema !!
Narudia tena ili unielewe “ Atawaweka karibu yake wale ambao anajua watamsaidia kuwadhibiti WALE wasiomtakia mema !!
 
Shida inakuja, atawajuwaje watu sahihi? Aliowaweka mwanzo aliamini kuwa ni watu sahihi lakini baadae amekuja kugundua siyo watu sahihi, hivyohivyo kwa hawa anaowaweka wanaweza wasiwe sahihi. Hii ni Tz ndugu, unafiki na usanii ni mwingi.
 
Hilo nalo neno !! Achange vizuri tu karata zake !

Uzuri ni kwamba ukishawajua adui zako hawakupi shida sana !
 
Back
Top Bottom