Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

Asante,Niko TAYARI kufanya lolote mwanangu aongee Jana nmetoka Kwa mganga nikamwambia hata akitaka mkono wangu Nampa ili tu mwanangu aongee hata akitaka nilete chochote including uhai wangu Niko tyr
Kijana tuliza akili sikiliza ushaur wa ma Dr ukiendelea hivi utapigwa pesa mpaka uchakae na mwisho utakuwa mwendawizimu maana utakuwa umepoteza pesa lukuki kwa waganga.
 
hakuna sehemu niliposema asiende onana na doctor, ata mwenyewe amesema anakwenda huko kote, nimemshauri tu kama katika kuangaika kwake ata huko anaweza pita pia kama ataweza.
 
Naamini lkn pia Kuna nywele kichwani zlinyolewa isivyokawaida na huwa hazioti hiyo sehemu. Nisaidie namba ya huyo Dr pia,asante
Kitendo cha kunyolewa hilo ni tatizo la kiroho 100% so usihangaike hospital wala kwa waganga.
 
Hilo ni tatizo la usonji 100%. Ungetakiwa uwe umempeleka hospital toka awali kabisa.
 
Asante,Niko TAYARI kufanya lolote mwanangu aongee Jana nmetoka Kwa mganga nikamwambia hata akitaka mkono wangu Nampa ili tu mwanangu aongee hata akitaka nilete chochote including uhai wangu Niko tyr
Mpige na dhakari utosini ila ina madhara kama damu sio yako andaa msiba
 
Asante,Niko TAYARI kufanya lolote mwanangu aongee Jana nmetoka Kwa mganga nikamwambia hata akitaka mkono wangu Nampa ili tu mwanangu aongee hata akitaka nilete chochote including uhai wangu Niko tyr
Kuwa serious, uhai wako ukitolewa nani ataendelea kumhudumia kwenye kumtibu huyo mtoto?
 
hakuna sehemu niliposema asiende onana na doctor, ata mwenyewe amesema anakwenda huko kote, nimemshauri tu kama katika kuangaika kwake ata huko anaweza pita pia kama ataweza.
Ni kweli nilikuelewa,lakini mimi simshauri aende kokote tofauti na hospital
 
Kweli kabsa madakari wanatibu lakini Mungu ushauri wako umejaa madini tupu
 
Duh kweny kutibu Usonji kwa sasa ni Mtihani bado maybe miaka ya mbele
Unaona sasa!! 🀣🀣

But i must appreciate how you people are good at inventing FANCY NAMES such as AUTISM and THROMBOTIC ATHRITIS GONDI. πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ€“πŸ€“πŸ€£

AUTISM THROMBOLISIS πŸ€“πŸ€“

Toeni dawa, alaaah!!
 
Dawa zitapatikana as long as Watu bado wanafanya Studies nyingi ili kutuokoa kwenye hilo..
Inaitwa ASD (Autism spectrum disorder)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…