Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Na wewe unaamini the virus is fake? Kawaulize South afrika na Botswana walitaka kuisha kwa mapigo ya huyu virus mbishi na deadly anaeitwa fake. Thank mbeki nae kuna wakati alimkana huyu HIV na kumwita fake nchi ukitaka kumrarua na soon mtoto wa Mandela akafariki kwa huyu huyu virus.Deception lazma ahusike hapa maana alituambia hiv is fake.
HIV is genuine and exists.