Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Deception lazma ahusike hapa maana alituambia hiv is fake.
Na wewe unaamini the virus is fake? Kawaulize South afrika na Botswana walitaka kuisha kwa mapigo ya huyu virus mbishi na deadly anaeitwa fake. Thank mbeki nae kuna wakati alimkana huyu HIV na kumwita fake nchi ukitaka kumrarua na soon mtoto wa Mandela akafariki kwa huyu huyu virus.

HIV is genuine and exists.
 
Kuweni makini na haya machanjo ya mashuleni.vilevile watoto wadogo wengi wameathirika kutoka kwa wazazi wao hivyo unakuta kwenye michezo ya kitoto wamalishana mabarafu au pipi.
 
sio watoto wakike tu, ni watoto wote. Uelewe tu kuwa ukimwi kwasasa umeenea sana hata kwa watoto wadogo ambao mara nyingi hawana umakini wowote kuchezea viti vyenye ncha kali
Kweli kabisa
 
Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).

Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.

Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.

Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.

Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.

Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?

Niko na huzuni sana ndugu zangu.

Mkuu kwanza pole sana, kwa mzazi naelewa uchungu ulionao.
Haraka haraka nime fikiria kuwa inabidi kuangalia kwa upana namna ukimwi unaambukizwa tusibaki kwenye ngono tu.
Je mwanao hakuwa kuongezwa damu? Kucheza na marafiki na pengine kuumia na damu kuchanganyika na ya rafiki alie mgonjwa, twende kwa mtazamo huo.
Pole sana.
 
Kuna kukosewa,..na kesi za aina hii zimewahi kuripotiwa hapo awali.
duuh,kama ni hivyo hatari sana,ila kama waliwahi kufanya operation ya kichwa badala ya mguu,hata kwenye damu linawezekana kabisa hapa tz
 
Pole sana kiongozi,,itabidi uonane tu na watu wa ushauri na saha na madaktari mjue mnaanzaje hapo
 
Pole sana najua ni wakati mgumu sana kwko but mtegemee Mungu mpende mwanao
 
Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).

Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.

Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.

Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.

Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.

Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?

Niko na huzuni sana ndugu zangu.
HIV is just a Hoax
Mtoto ameathorika na kuharisha na kutapika na kama hamjui ni infection gani ilisababisha ndipo ugumu ulipo
Lakini mtoto ale vizuri afya yake itarudi

Kwa sasa ugonjwa unaomsumbua zaidi ni msongo wa kuambiwa ni HIV+ anahiji MTU mwenye busara za kitosha na anyeelew ni kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Kirusi wa Kusadidlkika aitwaye HIV akirudi Norma na kuendelea kula vizuri iko siku akirudi kupima ataambiwa ni -Ve

Poleni kwa Mstuko
 
Mbona bado ni mdogo sana miaka 9, siamini kama aliupata kwanjia ya kujamiana
 
Mkuu uwe unajitahidi kusoma mada na kuelewa. Ulichoongelea kipo kwenye mada tayari, unaharakia nini??
sio lazima nisome comment zote nina,ninaweza nikasoma comment mbili tu na mimi nika comment vile vile

ulitaka nimalize zote kwani huu mtihani?
 
HIV is just a Hoax
Mtoto ameathorika na kuharisha na kutapika na kama hamjui ni infection gani ilisababisha ndipo ugumu ulipo
Lakini mtoto ale vizuri afya yake itarudi

Kwa sasa ugonjwa unaomsumbua zaidi ni msongo wa kuambiwa ni HIV+ anahiji MTU mwenye busara za kitosha na anyeelew ni kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Kirusi wa Kusadidlkika aitwaye HIV akirudi Norma na kuendelea kula vizuri iko siku akirudi kupima ataambiwa ni -Ve

Poleni kwa Mstuko
Utata unaonisumbua ni siku tutakayo mwambia ila mpaka sasa yeye hatujamwambia.

Huu ni mtihani huko mbeleni mkuu.
 
Pole sana ndugu. Hapa pia kuna haja ya mama na mtoto kupimwa DNA. Isijekua alibadilishiwa mtoto (samahani kwa huu ushauri mkuu)
 
HIV is just a Hoax
Mtoto ameathorika na kuharisha na kutapika na kama hamjui ni infection gani ilisababisha ndipo ugumu ulipo
Lakini mtoto ale vizuri afya yake itarudi

Kwa sasa ugonjwa unaomsumbua zaidi ni msongo wa kuambiwa ni HIV+ anahiji MTU mwenye busara za kitosha na anyeelew ni kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Kirusi wa Kusadidlkika aitwaye HIV akirudi Norma na kuendelea kula vizuri iko siku akirudi kupima ataambiwa ni -Ve

Poleni kwa Mstuko
You are a reader, Unajua hata kile kipimo hiwa hakiangalii actual virus
 
Back
Top Bottom