Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.

 
Kwanini unaandika nyuzi 90 nyuzi ? Huoni kama umeandika barabara ya bagamoyo road?

Tuachane na hayo, kuna ubaya gani umeuona kwa kughairi kwake kuingia? Ulitaka aingie hvyo hivyo hata kama kaambiwa hatari iliyopo mbele yake? Ushujaa wa kushupaza shingo ulilisababishia Taifa kumkosa kiongozi siku za karibuni, huyu mama hapendi masifa ya ushujaa wa kijinga.
 
Mtoa hoja uwe unafikiri kabla ya kuandika mada,my President amefanya uamuzi wa busara kutokuingia hiyo wodi maana moja ya silaha za kujikinga na Covid 19 ni pamoja na self isolation ndio maana usingekua uamuzi safi kama angeingia humu,ni lazima akifanye anachokisema
 
Akikumbuka kuwa Dokta Mpango ndiye president in waiting,anaogopa sana kuirudisha nchi mikononi mwa shetani.
Haa πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
Mambo Ni Moto
 
Wajibu wa kulinda uhai wake uko mikononi mwake. Hakuna tatizo
 
Back
Top Bottom