Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.

😅😅😅😅😅 Mkuu mwambie Mangi akupe bia naja soon
 
Ni tukio linafurahisha lakini limebeba ujumbe mzito Sana...Kwanza Korona ipo...na Mwannyamala Kuna Wodi kabisa!
Tumeshuhudia Raid na wsaidizi wake wakiongeza hatua za kujikinga ikiwemo kuvaa barakoa...Ila nahisi kuwa huku mitaani Elimu bado Sana!
watu walimuamini sna JPM
Viongozi na wafuasi wa JPM wamebadilisha gia angani,kimyakimya😆😆😆
inabidi Mama Samia apindue meza kibabe kwa uwazi aseme wasi watu tujinge!
Tenaatangazo yatolewe kwa nguvu
kama Mwananyamala Kuna wodi inawezekana na sehemu zingine zipo!
 
Kuna huyu mwamba alikuwa katibu mkuu wizara ya afya, alikuwa anaingia wodi za watu wenye matatizo ya upumuaji bila barakoa halafu anawaambia hamna kovidi
images (46).jpeg
images (47).jpeg
 
Nadhani Tanzania ndio nchi pekee ambayo inatumika nguvu ili ijulikane corona ipo.
 
Back
Top Bottom