Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

Mwananyamala: Rais Samia ala kona baada ya kuambiwa wodi anayotaka kuingia ni ya wagojwa wenye matatizo ya kupumua

Ugonjwa wa kuambukiza kwa njia ya hewa na kugusana sasa hapo hakuwa na nguo za kujikinga zaidi ya barakoa hata Mimi ningekimbia.
 
Wapo humu??? enh Nyie tokeni huko oh... Inachekesha lakini 😀 😀
 
Kifo kinatisha

Ni sawa na uambiwe yule jamaa ana ngoma ila enda nae ukiwa umevaa ndom....
Weeeh kama ni mwamaume haisimami ng’ooo ....😅😅😅

Kovido hana masihara, hata mie ningeita tena nikiwa mbaalii... nyiiiii tokeni hukoo....!
Kwa kweli we mtoto mtundu sana
 
😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.

Tunarudia, jiwe alikuwa jiwe, wengine nyanya tu..
 
Ni hatari sana kuingia....amefanya vyema kutoingia....
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.

Kwani bado hajajivaccinatiwa...!!????
 
Kajiongeza maana angeona mubashara jinsi boss wake alivyokufa kwa kutoa ulimi nje kama jibwa koko
We are measured by our IQ and EI to be Great Thinkers. I want to believe there is someone anakuchukulia kama role model but 👆is too low.
 
Ni hataree maana wale walinzi wanoingia na magobore walikuwa weshatangulia ndani ,sasa kama rona amewahi kuwarukia ni mtihani.
Ndio raisi Samia uvumilivu ukamshinda kuwaita wanawe kwa makelele watoke haraka....nyie tokeni huko,,,,,bodigadi wakike alisikika akiita maamah.
 
Isije kua hapo Mwananyamala hospt wamemficha mama madudu yao kwa uongo wa Covid 19???
Anyway wote wenye matatizo ya kupumua Mola awajalie shifaa mpone...
 
Kule wanakuwa uchi na watu wako actively kazini , pia hata kuingiza maambukizi. Alitumia akili, yule mwingime angeingia na angejaribu kuzalisha mubaashara
Haaahaaaa
 
Back
Top Bottom