Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Upo..?
Sipo...ππ½ππ½
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo..?
Hivi mwamba Jiwe ulimi ulikuwa nje?Kajiongeza maana angeona mubashara jinsi boss wake alivyokufa kwa kutoa ulimi nje kama jibwa koko
πππππππππππππππππππππ niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Magufuli alikua kiongozi level ya juu sana kwa watanzania kwa upendo na kutetea maslahi ya umma.
Kwa maneno yake mwenyewe mama samia kwenye matembezi yake hospitali ya mwananyamala alipofikishwa kwa wenye matatizo ya kupumua aliuliza kwa kushtuka kama ni wodi ya wenye corona alipijibiwa ndio aliwatoa haraka waandishi wake waliyokua wameshaingia ndani ya wodi hiyo na yeye kutimka haraka.
Ninachotaka sema nchi hii mtu asiyekua mbinafsi na muoga kuiongoza kusudi watu wake watoke kwenye umaskini. Nina hakika waganga waliyokua wanataka kumpitisha kwenye wodi hiyo walikua wamechukua tahadhari kuhusu afya ya rais na aliyofuatana nao kwa hiyo hapakua na sababu ya amiri jeshi mkuu wa taifa kuonyesha woga na kutimka badala ya kuwaona raia zake wagonjwa.
Mama yetu bado ni mgeni wa madaraka makubwa aliyoshika. Ajitahidi kuondoa woga na aongeze ujasiri na kuwaepuka wanafiki. Urais sio mapambo ni ujemadari wa vita.
Hahahahahaaa nmecheka sana mama anajipenda huyooooo
"Corona ni ka mafua tu ka kawaida, katapita." Alisikika mara kwa mara akitamka hadharani.Hahahaaaa...... Corona inatisha!
Wale ni wapambe tu. Hawana maajabu.Kwanza kwenye hiyo incidence niliwadharau sana wana Usalama ambao wanafanya racking kabla na kupanga maeneo mheshimiwa atapita. Sasa ilikuwaje wampitishe maeneo hatari mpaka Mh. Rais akashtuka namna Ile? Rais siku zote anapaswa kulindwa na kila aina ya udhaifu. Rais siyo mtu wa mchezo. Wajiangalie sanaa watendaji wake
Mkuu wewe ungeingia???unafanya masihara nini!!!