copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Excellent! Japo hajasema ni level ipi ya elimu.. Kama ni primary hawezi kwepa.. Pia O-level hawezi kwepa pia. Lazima apate basics hata kama atakuwa wa mwisho.Kama ni kilaza focus na kipaji chake usimpotezee mtoto muda maana elimu yetu haina maana sana sikuhizi! Kazi hamna mtoto unamkalisha darasani miaka 17 ni upuuzi tu
La kuzingatia ni wakati anahakikisha anapata hizo basics, awe anahakikisha anatambua matakwa (comfort zone) ya mwanae ili aanze kumuwashia torch