careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Mie pia nilikua napata nafasi ya tatu hadi ya tano lakin aikumbuki kama ni kwa mapenzi yangu au ni zile fimbo za baba maana baada ya hapo sipendi kusoma kabisa hadi leoinaonekana hiyo tabia ya kufaulu kwa kiasi hicho hajairithi kwako kabisaaa kwa hiyo jitahidi tu kumuelewa
Aah kwakwel huwa namshangaa sasa kinachomliza nini?hahahaha umeua sanaaa, unamshangaa analia nini ama kweli ww kiboko?? daaah wazazi wengine mmepinda sanaaa
Unaongeleaje shule zilizofaulisha wawili katika mia na wengine wakapata fursa ya kurudia katika shule bora na wakatusua mpaka juu hukoKama huna akili hata usome cambridge hufiki kokote ,mzazi kutambua umuhimu wa elimu hakumsaidii mtoto kilaza,akili ni vipaji vya kurithi genetically inherited
We tulia tu, najua mwanao anabeba darasa.. tuachie ss wa topu 10Top 10 then? Je huyo mtoto Maisha halisi anaweza pambana? Ukiacha huo u top 10?
Japo umeiweka kama utani, ni kwamba huyu mwamba nafasi yake ni ya 72 kati ya watoto 100…just in case..Nashukuru hata mimi mwanangu yupo kwenye topu teni, alikuwa wa 8 kati wa wanafunzi 11. Ninachofanya ili asitoke kwenye topu teni ni kumsisitiza asome. Asandi sana
Kuwa rejected haimaanishi huna akili.we kubali tu kuna watoto hawana akili wako wengi tu vichwa vigumu hata ufanyeje utapiga itaua,utabadilisha shule zoteUnaongeleaje shule zilizofaulisha wawili katika mia na wengine wakapata fursa ya kurudia katika shule bora na wakatusua mpaka juu huko
Pia unaongeleaje ambao hawakupata fursa kama hizo za kurudia katika shule bora
Hawa wote wewe unawaweka katika kundi la wasio na akili?
Private school nyingi zinapokea rejected
Lakini mbona zinaongoza
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k lakini bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha.
Wengi mnaijikweza huwa ni sifuriWangu ni za kuuzaliwa familia nzima ni no 1☝️
😂😂
Huyu dogi nae sio muda anaweza nichapa gepu, na mimi saizi nna biashara ila chamoto nakipata maana muda mwingo sipo dukani.
Tatizo muda [emoji1751]Kula cartoon na mwanao mzee..
Baadhi ya ambazo sisi tumeshakula;
1. Chicken run
2. Madagascar...
3. Puss in boots
4. Coco
5. Shrek
6. Ice age
7. Khumba
8. Frozen/Elsa
9. Ralph breaks the internet
10. Zootropia
11. Hotel translvania
12. Ballerina (Ballery dance...)
13. Barbie
14. Etc.
Sisi tunasubiri tufike P5 tuanze shule rasmi.. Kwasasa tunaelezana concept ndogo ndogo tu..
Sina mtoto ila nitakupa mbinu alizotumia mzee wangu ili mimi binafsi niweze kufanya vizur katika masomo yanguHello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k lakini bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha.