Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Ye na mke wake kashamaliza?Msando ameonyesha roho ya kimaskini
Bwana mundende unakopi nini[emoji871]
Hahahaa mkuu ombea memaaNa wataachana Tu ...
Mkuu, kuna watu wanaishi peponi, kabla hata ya kufa!Wacha nipapambane na hali yangu.
Kweli kabisa mkuuBwana Msando ana jicho la Tatu.......hawa mabinti wanaolilia ndoa mara nyingi huwa wana malengo yao......na wamepelekea maanguko ya vijana wengi sana waliokuwa na ustawi mzuri kimaisha......na wengine wanaishi kwenye ndoa kama wako gerezani kwa hofu ya kagawana Mali.....
Hahaaahaa anamkumbusha tuuHuyo Msando ni mwanasheria wa wa udaku na Instagram, sasa hayo mambo gani ya kuongea mwanaume mzima na mavuzi yake?
Ila kasema ukweli..Matani tu hayo japo ni vizuri kuwa makini na matani ya watu coz watu wengi hutumia matani kupitisha ukweli fln fln. Wale wazee wa kuuma huko wanapoza
HahahaaaWajasilia mwili watakuja kumpinga