Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
Sakata limetokea kwenye mitandao pendwa wa Instagram baada ya Bwana majizzo kupost mjengo mpya rasmi wa efm (piacha na maelezo ya majizzo pichani)

Bibie lulu nae hakubaki nyuma akapost kumpongeza mumewe huyo kwa hatua aliyopiga,huku akichombeza kwa maneno baada ya mitano tena anaonaje amuongezee miwili tena ya kufanya makubwa..(inaonesha majizzo alighairi kuoa miaka mitano akifanya hiyo project hadi iishe kwanza)

Ndipo Albert msando akakoment kumjuza bibie kwamba kisheria huo mjengo siku wakiachana hauko kwenye mgao wa Mali.maana alifanya hiyo project kabla hajaingia ndoani.so asiuhesabu.

Screenshot_20210220-144123_1613822871332.jpg
Screenshot_20210220-145142.jpg
Screenshot_20210220-145135.jpg
Screenshot_20210220-150356_1613822775534.jpg
Screenshot_20210220-150426_1613822704484.jpg
 
Bwana Msando ana jicho la Tatu.......hawa mabinti wanaolilia ndoa mara nyingi huwa wana malengo yao......na wamepelekea maanguko ya vijana wengi sana waliokuwa na ustawi mzuri kimaisha......na wengine wanaishi kwenye ndoa kama wako gerezani kwa hofu ya kagawana Mali.....
 
Kweli kabisa mkuu
Lakini sio mabinti Wote wako evil kiasi hicho
Halafu huwa hawana elimu akiona mghorofa na BMW basi anapapatikia ndoa akijihakikishia Mali lazima aondoke na nusu kumbe sheria haiko hivo
 
Huyo Msando ni mwanasheria wa wa udaku na Instagram, sasa hayo mambo gani ya kuongea mwanaume mzima na mavuzi yake?
Hahaaahaa anamkumbusha tuu
Ila mi sijapenda kwakweli kulikua na ulazima gani amshushue binti wa watu hadharani hivo
 
Back
Top Bottom