katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
procedure anatakiwa aandike barua kwa katibu wa bunge ampe nakala katibu wa ccm,yeye kafanya tofauti kaandika barua kwa katibu wa ccm na kumpa nakala katibu wa bunge!Tofauti kivipi? Procedures ni zipi
... naanza kupata picha kwamba hiyo barua Ndugai aliandikiwa na kazi yake ikawa moja tu - kusaini tena mbele ya "chuma". Kwa stress zile hakuwa na namna zaidi ya kusaini. Ni mtego aliwekewa ili wapate sababu ya kumfukuza akose haki zake zote.Period! Nakala huwa haifanyiwi kazi. Ni taarifa tu anapewa aliyenakiliwa!
... in short Katibu wa Bunge ambaye ndiye mamlaka ya kujiuzulu Spika Kikatiba hana taarifa rasmi kwamba Spika kajiuzulu zaidi ya kusikiasikia huko tu!procedure anatakiwa aandike barua kwa katibu wa bunge ampe nakala katibu wa ccm,yeye kafanya tofauti kaandika barua kwa katibu wa ccm na kumpa nakala katibu wa bunge!
Yaonekana Katibu wa Bunge bado hajitambui wala hajijui kuwa hana uwezo wa kuyazuia hata kama kuna makosa katika mtiririko wake.katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
Wewe hiyo ni minor,na kama amefanya kwa kupitiwa au kutojua ni kitu insignificant,afu barua inaweza badilishwa cha muhimu kaandika barua kujiuzuru.procedure anatakiwa aandike barua kwa katibu wa bunge ampe nakala katibu wa ccm,yeye kafanya tofauti kaandika barua kwa katibu wa ccm na kumpa nakala katibu wa bunge!
There it's NULL AND VOID!!!😆😆😆procedure anatakiwa aandike barua kwa katibu wa bunge ampe nakala katibu wa ccm,yeye kafanya tofauti kaandika barua kwa katibu wa ccm na kumpa nakala katibu wa bunge!
Therefore, it's NULL AND VOID!!😆😆procedure anatakiwa aandike barua kwa katibu wa bunge ampe nakala katibu wa ccm,yeye kafanya tofauti kaandika barua kwa katibu wa ccm na kumpa nakala katibu wa bunge!
We hujui... unapeleka popote lakini mwenye mamlaka ya kukubali au kukataa kujiuzulu kwako ndiye anakuwa mlengwa mkuu, wengine wanapewa nakala kwa maana ya kutaarifiwa tu ya kinachoendeleaAnaejiuzulu anaweza kupeleka barua popote anapota mradi tu pia apeleke barua hio hio kwa bosi wake wa kazi anayotaka kujiuzulu.
Basi Sawa, kama hana taarifa rasimi, mimi ntamwambia badaye!... in short Katibu wa Bunge ambaye ndiye mamlaka ya kujiuzulu Spika Kikatiba hana taarifa rasmi kwamba Spika kajiuzulu zaidi ya kusikiasikia huko tu!
Imeisha hiyo mjomba,hakuna tena muujiza.Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Mi kweli sijui, ila hapa hakuna ishu, kama barua imepelekwa palapa husika na imepokewa haijalishi kama kaipeleka mwanzo au mwisho,kinachohitajika ni barua ya kujiuzulu tu na sio kuwahi au Kuchelewa kuipeleka.We hujui... unapeleka popote lakini mwenye mamlaka ya kukubali au kukataa kujiuzulu kwako ndiye anakuwa mlengwa mkuu, wengine wanapewa nakala kwa maana ya kutaarifiwa tu ya kinachoendelea
Katibu wa Bunge kama anaipenda kazi yake atakanusha hii taarifa na kufanyia kazi mchakato wa speaker chap chap.katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
Maneno yako matatu ya mwanzo kwenye bandiko hili (nayanukuu... Mi kweli sijui... mwisho wa kunukuu) yanasababisha niache kuendelea kukueleza.. Maana hujui na unaelezea kuonyesha unajuaMi kweli sijui, ila hapa hakuna ishu, kama barua imepelekwa palapa husika na imepokewa haijalishi kama kaipeleka mwanzo au mwisho,kinachohitajika ni barua ya kujiuzulu tu na sio kuwahi au Kuchelewa kuipeleka.
Pia akitaka kujiuzulu ubunge anaweza akawapelekea wapigakura wake wote barua mwanzo kisha asije kusahau kupeleka bungeni tu na anaweza akachelewa hata wiki nzima mradi tu na bungeni apeleke barua.