Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

Kama unamjua basi hupashwi kuquestion IQ yake na jinsi anavyoelewa mambo ya nchi hii
Gentleman,
binafsi sijaquestion mahali, bali nimeeleza ukweli mtupu dhidi ya uwezo mdogo mno alionao huyo muungwana kwenye masuala ya kisheria, kwasababu ninamfahamu vizuri sana eneo hilo πŸ’
 
Gentleman,
binafsi sijaquestion mahali, bali nimeeleza ukweli mtupu dhidi ya uwezo mdogo mno alionao huyo muungwana kwenye masuala ya kisheria, kwasababu ninamfahamu vizuri sana eneo hilo πŸ’
Unafahamu PHD ya Harvard University inapatikanaje??
Na hicho chuo kwa ubora ni cha ngapi duniani???
Msipotezwe na mijadala ya kufurahishana jenga hoja juu ya facts zinazo simama zenyewe bila kuwekewa gundi.
 
huenda hapo ndiko kwenye changamoto iliyosababisha kibaraka kuubeba huo mzigo 🀣
 
WHO ARE YOU.?
 
😁😁😁 mkuu wa gereza la Ukongo juzi kati alisema hapo ndipo kuna utata baaba ya kukosa jibu la swali toka kwa wakili Neema😁😁😁
Nilicheka sana baada ya hili jibu.
 
Mwanachama wa CHADEMA kadi namba ngapi wewe?

Nakushauri utembee na kikopo cha mchanga maana ndimu hazikusaidii kupambana na kimbami kinachokuchefua chefuaπŸ˜€πŸ˜€
 
Pendwa rushwa anapenda sana kuchangia. Kwa nini husichangie huko kwenye group lenu la wala rushwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…