Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

Unafahamu PHD ya Harvard University inapatikanaje??
Na hicho chuo kwa ubora ni cha ngapi duniani???
Msipotezwe na mijadala ya kufurahishana jenga hoja juu ya facts zinazo simama zenyewe bila kuwekewa gundi.
Kwa Rugemeleza Nshala hakuna PhD ya Harvard, labda ya kama ipo ni feki
 
Gentleman,
kwahiyo huyo mwanasheria wa chadema ndio kaongea nini sasa kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…