Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Tusi liko wapi hapo?View attachment 3570370
Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa.
Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
Màana ni ileile. Kama alimaanisha tusi basi ni lilelie. Huwezi sema sikuiba ila nilichukua bila ruhusaAngesema tu 'imelawitiwa',ni neno lenye staha kwake kwa umri wake,elimu yake,wadhifa wake,hizo ndizo akili za chadema
Huo ni msamiati tu hata kwenye Biblia imeandikwa "ole wao wafiraji na walawiti" 1 Wakorinto 6: 9Angesema tu 'imelawitiwa',ni neno lenye staha kwake kwa umri wake,elimu yake,wadhifa wake,hizo ndizo akili za chadema
Duh aisee.View attachment 3570370
Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa.
Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
Kama hayo siyo matusi, basi tufute neno tusi kwenye kamusi.Hakuna tusi hapo... yote ni misamiati halali mkuu.
Weka ushahidiSamia anaagiza watu wanaotekwa na kundi lake la watu wasiojulikana wafirwe, mbona huonyeshi kuumiza?
Sasa hapo ametukana nini unadhani hata Mwalimu Nyerere muasisi leo angekuwepo angeongea nini juu ya hizi najisi zinazofanyika? Kwahiyo mnavyofira watu mnaowateka kuwanyamazisha hiyo hamuitukanishi nchi? Matako yako by SuguView attachment 3570370
Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa.
Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
Nenda kamuambie mzazi wako amekubaka na kukufira, tuone kuwango chako cha fashion kilivyo juuHukusoma fasihi? Kubakwa, kufirwa au kulawitiwa kwa nchi kunatokea pale inapotawaliwa unconstitutionally na genge la mazafakas fulani.
Kama siyo tusi nenda kamuambie baba yako kuwa anekufira na kukulawitiTusi liko wapi hapo?
Mmeteka watu... Mmebaka.... mmefira na kulawiti... Mwisho mkaua maelfu kwa maelfu!
Au hampendi kuambiwa ukweli?
Ukirudi home kwako mkeo akichelewa kukufungulia mlango, mwambie "umenifira mke wangu"So Trump anavotumia maneno kama "fucking Iran...." ana maanisha wanakuwa fucked kweli? Ironic language bro. Kufirwa hapo ni kutendewa kinyume na tulivotarajia..
Siyo kwa maneno kama ya Nshalanawewe uliwahi tukana mbela ya meko pale gereza la butimba albino alivyokusemelea tabia zake ukafukuzwa
Nilichosema na ulichosema vina uhusiano gani?Nenda kamuambie mzazi wako amekubaka na kukufira, tuone kuwango chako cha fashion kilivyo juu
Ushahidi kwa vyombo vipi boss? Subiri siku kibao kikigeuka hadi walikozikia watu watakwenda kuwaonyesha.Weka ushahidi
Nchi???Nchi inafirwa na Wanamtandao na akina Mafwele.
Daaah, aiseeTusi liko wapi hapo?
Mmeteka watu... Mmebaka.... mmefira na kulawiti... Mwisho mkaua maelfu kwa maelfu!
Au hampendi kuambiwa ukweli?
Sijui watateka na kupoteza watu wangapi.Huyo ni mwanaume haswa.!!
Sifa ya mwanaume ni kusema ukweli bila kona kona..!!
Sasa biblia ni sehemu ya rejea!?..kulawiti na kufira ni kitu kimojaHuo ni msamiati tu hata kwenye Biblia imeandikwa "ole wao wafiraji na walawiti" 1 Wakorinto 6: 9