Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

Najua aisee.

Watu wengi wameshanitaarifu.

Na mimi sipo huko X, hivyo hata sijui aandikacho huyo mtu.

Nahisi huyo mtu atakuwa pia yupo humu.

Kuna baadhi ya watu wako obsessed na mimi kwa sababu wazijuazo wenyewe.

Na moja ya njia ya kuonyesha hiyo obsession ndo kama hivyo kujipachika jina langu la humu huko kwingine.

Huyo mtu na avatar yake kaweka hii picha yangu?
 
Hakika umenena vyema sana Mkuu wangu Mwanasheria Mkuu wa Chama chetu CHADEMA.Hawa watu wako hapo kiramu na ubabe ndo maana umesema nchi Wameilawiti na Kuifira na kuifanyia kila aina ya ubaya.
 
Uhusiano ndiyo huo huo, kuwa haya siyo maneno ya staha kutamkwa na mtu ambaye ni mshauri wa sheria wa chama.
Mtu akifirwa asilitamke hilo neno kwasababu siyo neno la staha? Nchi inayotawaliwa kinyume cha katiba yake inafirwa, na hili neno ni mahali pake sahihi kutamkwa!
 
Pale ndiko yaliko maridhiano, wamuachie tu huyo mjuba na chama chake kiondolewe vikwazo vya kufanya siasa, huo utakuwa mwanzo wa maridhiano. Shida iko wapi wakati vyama vyote ni vya watanzania? Nchi inatakiwa ifikie ustahimilivu wa kisiasa, wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua chama chenye sera bora kwao. Kupokezana utawala kupitia chaguzi kuu za nchi ndio kukomaa kwenyewe kwa demokrasia. Hakuna sababu ya kuwa na wafungwa wa kisiasa kwa nchi inayojitanabaisha ni ya kidemokrasia
 
Sasa haya nayo ni maswala ya ku'justify' ukilaza wa hali ya juu kabisa wa Samia?
Kutamka majina ya viongozi iwe sawa na kutojuwa (ujinga) bei za bidhaa muhimu kabisa inayogusa maisha ya watu?
Wapumbavu wa aina yenu ndio mliojazana humo kwenye kundi hili la uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…