Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Black is Black, red is redAkiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka jamani na ni wazi yuko tayari kwa lolote.
Ukiua watu wa watu usitarajie mambo yataisha tu bila consequences, hizo ndio consequences sasa, things will never be sameHali itaendelea kuwa ngumu tu, msifikiri kuua waTanzania ni jambo dogo.
mkuu ulimsikiliza mama akiongelea bei ya mafuta marekani na ulaya?Audio au video yake inapatikana wapi?
Wanajitahidi sana ku'normalize' yaliyotokea; lakini haiwezekani!Ukiua watu wa watu usitarajie mambo yataisha tu bila consequences, hizo ndio consequences sasa, things will never be same
Unachoongea hakina uhusiano na ninachoongea. Hapa tunaongelea nchi (a political entity)!Kamuambie mkeo kuwa umefirwa, halafu leta majibu hapa
Kabisa lo
Mama yake nani? Au unamzungumzia Samia muuaji?mkuu ulimsikiliza mama akiongelea bei ya mafuta marekani na ulaya?
Huyo huyo mama abdul na wanuMama yake nani? Au unamzungumzia Samia muuaji?
Kama unamzungumzia Samia, basi huyo ni mama yake na Abduli tu na labda wadogo zake.
Kilaza ni yule anayedhani kupatia kutamka bei ndio ujanja. Waingereza wanaita 'slippery tongue'.Sasa haya nayo ni maswala ya ku'justify' ukilaza wa hali ya juu kabisa wa Samia?
Kutamka majina ya viongozi iwe sawa na kutojuwa (ujinga) bei za bidhaa muhimu kabisa inayogusa maisha ya watu?
Wapumbavu wa aina yenu ndio mliojazana humo kwenye kundi hili la uovu.
Ukisema wanajitahidi kuifanya hali ionekane ya kawaida hautendi haki hata kidogo.Wanajitahidi sana ku'normalize' yaliyotokea; lakini haiwezekani!
Huu unguruwe wako unazidi kuwa mbovu zaidi, hata kitoweo hufai tena wewe. Itabidi mzoga wako uzikwe tu!Kilaza ni yule anayedhani kupatia kutamka bei ndio ujanja. Waingereza wanaita 'slippery tongue'.
Bei za bidhaa wanatakiwa wazijue wachumi, angekosa gavana wa BOT zile data ingekuwa kichekesho sahihi kwani ni masuala yenye kumhusu kila siku kikazi.
Sasa unataka mawazo yako potofu ndio uwe mjadala?Ukisema wanajitahidi kuifanya hali ionekane ya kawaida hautendi haki hata kidogo.
Kuna swali nalirudia mara nyingi tu, hao vijana wangeweza kuingia ikulu wakajitangazia serikali yao tungesikia hizi kauli za kutia huruma kwamba vijana wengi waliuwawa?.
Kwa wahuni unamaanisha bwana mbowe na genge lake.Kuna aina ya watu haupaswi kuongea nao kwa staha hata kidogo , lissu asingekua Shujaa, chadema ilikua inaenda kubakwa na kulawitiwa na wahuni
Watu wa kupelekwa kwenye mahakama hiyo, ambayo binafsi hainipi ahueni yoyote ni Samia Suluhu Hassan na wote walioshirikiana naye kutengeneza mazingira hayo yaliyosababisha umwagikaji wa damu ya waTanzania; hakuna mtu mwingine yeyote.Hao ICC watakapokuja usishangae wanasiasa tusiwatarajia wakakamatwa na kushtakiwa huko The Hague.
Tatizo watanzania tunadanganywa sana na hizi propaganda za kwenye media tunazolishwa kila kukicha.
Cha muhimu jaribio la mapinduzi haramu liliangukia pua. Mkuu njia ya mwendo kasi ya kutoka Morocco kwenda Kariakoo na Posta mpaka leo hii haijaanza tena kusafirisha abiria.Sasa unataka mawazo yako potofu ndio uwe mjadala?
Hizo habari za "kwenda Ikulu" umezitoa wapi wewe; ulikuwa unawaongoza kwenda huko?
Kama ilivyo kawaida ni kazi bure kukueleza chochote wewe pamoja na huyo Samia, kwa maana akili zenu zimejikita katika uhalifu na kutumia ulaghai.
WaTanzania wanapoandamana ni lazima muwaue?
Hata kama wangekuwa wanaelekea Ikulu; hiyo iwe ndiyo sababu ya kutumia njia ya kuua?
Na hao waliouliwa mitaani kwao na wengine majumbani mwao; hao nao wewe utawaelezeaje?
Huu utawala unaotokana na kumwaga damu za watu wasiokuwa na hatia, mnaona sasa unavyowaandama wenyewe? Raha ya kuwa na madaraka iko wapi sasa hivi!
Sihitaji jibu toka kwako, kwa sababu huna jibu lolote.
La muhimu ni mauaji mliyofanya ili mbaki madarakani bila ridhaa ya waTanzania, na hilo ndilo linalowasumbua hadi sasa; na litaendelea kuwasumbua maisha yenu yoteCha muhimu jaribio la mapinduzi haramu liliangukia pua. Mkuu njia ya mwendo kasi ya kutoka Morocco kwenda Kariakoo na Posta mpaka leo hii haijaanza tena kusafirisha abiria.
Ujinga ni kuua watu ili uendelee kutawala kwa nguvu. Huku ni kujidanganya kwa sababu hilo ndilo litakalosababisha uondolewe madarakani kwa njia yoyote, hata ya wewe mwenyewe kuuliwa.Ujinga wa vijana walioufanya October 29 unaendelea kuwatesa watumiaji wote wa usafiri huo. Bado sijaongelea vituo vya petrol ambavyo vilitiwa moto na kuleta umaskini mkubwa kwa familia za waajiriwa.
Endelea kuishi kwa chuki, hiyo hasara ya kwako mwenyewe. Lissu aliahidi kukinukisha hakujua ubaya wa kauli yake ile.La muhimu ni mauaji mliyofanya ili mbaki madarakani bila ridhaa ya waTanzania, na hilo ndilo linalowasumbua hadi sasa; na litaendelea kuwasumbua maisha yenu yote
Ujinga ni kuua watu ili uendelee kutawala kwa nguvu. Huku ni kujidanganya kwa sababu hilo ndilo litakalosababisha uondolewe madarakani kwa njia yoyote, hata ya wewe mwenyewe kuuliwa.
Samia hana haki miliki juu ya uhai wake. Unaweza kuondolewa wakati wowote, kama anavyoondoa wa waTanzania wengine.
Sipati hasara yoyote kwa kumchukia muuaji wa waTanzania; hili nilishakufahamisha siku nyingi sana, lakini kama kawaida yako hukomi kulizungumzia kila mara.Endelea kuishi kwa chuki, hiyo hasara ya kwako mwenyewe. Lissu aliahidi kukinukisha hakujua ubaya wa kauli yake ile.
CCM bado wapo wengi sana msidanganywe na hizi video fupi fupi za propaganda zinazorushwa mitandaoni.
Ipo kwa wapenda amani, nyinyi mliokinukisha hamuwezi kuiona mmejipanga kwa ajili ya vurugu mtakutana na vurugu hizo hizo.Sipati hasara yoyote kwa kumchukia muuaji wa waTanzania; hili nilishakufahamisha siku nyingi sana, lakini kama kawaida yako hukomi kulizungumzia kila mara.
Unarudia yaleyale. CCM ipo wapi wakati mlishaiua?