TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Siku hizi mbona watu hawasemi tena tatizo la kupumua? Maana ingekuwa kipindi kile kusingetosha hapa!
 
Apumzike kwa Amani...ili hii figure ya kuzaliwa 1943 na kuwa mwanasheria mkuu 1965 kama ipo sawa...atakua alianza kazi akiwa young sanaa.
 
RIP Mark Bomani.
Hata hivyo Law practice yake iikuwa kidogo....🙄!
 
R.I.P Kwake, poleni sana Familia nzima ya Mzee Bomani tupo pamoja. Kuna Mtu wangu Mmoja wa muhimu 'Maishani' mwangu yawezekana huu mwaka ukawa ni mgumu sana Kwake kwani karibia 'Marafiki' zake wote wa karibu na aliowahi kufanya nao Kazi Serikalini na ' Urafiki' wao ulikuwa unakaribia wa 'Kindugu' akina Rais Mstaafu Mkapa na leo hii Mzee Bomani wamefariki dunia. Nendeni Wazee wangu ( Wetu ) Bomani na Mkapa.
 
Pole sana familiar ya mzee bomani, umeondoka kipindi nchi ikikabiliwa na tishio kubwa la ukabila na ubaguzi
 
Kumbe Jaji Mark Bomani ni Mzanzibari! Sikuwahi kujua hili. RIP
 
Mzee Mark Bomani apumzike kwa amani mahala pema peponi, poleni sana Familia ya Mzee Mark Bomani
 
Pumzikwa kwa Amani mzee wetu Mark Bomani; Pole sana kwa familia
 
Back
Top Bottom