How,Kama alikuwa hai hawakujali,iwe leo!Ooohh.... Huyu anastahiki R. I. P yangu...
Je reports za tume zake ccm watazifanyia kazi?
Wewe kila kitu ni siasa za kipuuzi, hata msiba unaleta siasa.Pigo kubwa sana , nakumbuka kaka yake aliyeitwa Paulo alishirikiana na Mwl Nyerere kuanzisha BAKWATA
Sio urais labda kuapishwa urahisi wa mtaa wa ufipaMzee Bomani umeondoka kabla Tundu Lissu hajaapishwa kuwa Rais wa JMT. Pumzika kwa amani Mzee.
22 aiseeApumzike kwa Amani...ili hii figure ya kuzaliwa 1943 na kuwa mwanasheria mkuu 1965 kama ipo sawa...atakua alianza kazi akiwa young sanaa.