TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Uzandiki wa kishamba usio na tija.
 
Kazaliwa 1943.

Jaji mkuu 1965.

Akiwa na miaka 22.
 
Unajua BAKWATA ilianzishwajee wewe sukule?
Hivi mmeokotwa wapi nyie takataka?
Mamuijui historia ya nchi yenu na wala hamsomi maandiko mbalimbali ili kupanua ufahamu wenu!
Viumbe wa ajabu sana wana mbogamboga.
Kwa hiyo umekuja na mitusi?
 
Pumzika kwa amani Jaji Mark Bomani. Hakika ulikuwa muungwana na uliishi maisha ya kistaarabu sana.
 
Mwanao kama unampenda kuna kazi usimuruhusu kusomea ikiwemo u_Polisi na u_Hakimu ...

kuna machozi ya watu mengi sana nyuma ya hizi kazi ambayo mwisho wake inakua ni laana ...
 
Jaji mstaafu Mack Bomani aliye kuwa mwana sheria mkuu wa serikali wa kwanza wa seriya tanzania amefariki dunia.

Amefia ktk hospital ya taifa ya Muhimbili.

Mungu alitoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigo kubwa sana , nakumbuka kaka yake aliyeitwa Paulo alishirikiana na Mwl Nyerere kuanzisha BAKWATA
Mkuu upo deep sana!!! Mwl alikuwa na hekima kubwa kutumia watu brain kufanikisha mambo. Juzi Sengerema msafara JPM Shehe wa wilaya ( Bakwata) sala yake ilikuwa kama vile kuapishwa kwa Rais mteule na kukandamizia na ombi la msikiti wa Kisasa wa Wilaya.
 

RIP Judge Mark Boman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…