TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

W
Wateule wanampenda ila mimi mwananchi wa kawaida namchukia sana.Kamfukuza kazi ya ualimu baba yangu kisa cheti,walimuajiri vipi?mbona wanafunzi aliokuwa anawafundisha wafaulu kwenda sekondari
Unaweza ukatumia cheti si chako lkn huwezi foji utaalaamu taaluma, Ni lzm ukae darasani.Hapa awakureasoning.Yawezakuwa pia ni moja ya mbinu ya kupunguza watumishi ili wabaki wachache wa kumudu kuwalipa salary
 
Hi!! Bageshi! Ukiwa unatekeleza mambo yako huku ukiwa na hofu ya utachukiwa (kutopendwa)utakuwa huwezi kufikia lengo Bageshi!

Na duniani, mtu atakaye pendwa na kila mtu huyo ni wakuogopa kama ukoma na atakuwa mpumbavu wa kiwango cha dege la Jana!!
Kinaangaliwa Ni percent ukichukua na wengi una matatizo
 
Hali si hali watu, watanzania baadhi kama siyo wote wamechoka, kufuatia kifo cha Jaji mstaafu Mark Bomani, hii ni tweet ya rais wa Tanzania;

"Nawapa pole familia na wote walioguswa na kifo cha Jaji Mstaafu Mark Bomani. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa Serikalini katika masuala ya sheria na katika chama akiwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa CCM. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."

Baada ya tweet hiyo hapa chini ni baadhi ya comments za wananchi wake wakimpa pole 😂...

View attachment 1566754
NDO MMESHAMALIZA KUNADI SERA HAPO
 
Ni hulka ya binadamu kupenda au kuchukia, Mungu wa mbinguni aliyetuumba kuna binadamu wanamchukia vipi kwa mavumbi Magufuli, muhimu anatimiza wajibu wake Kama Rais tunaompenda tupo tena ni wengi zaidi ya hao wachache wanamchukia.
Wajibu wa kuuwa watu?
 
Ni ndugu. Mie nikijua huyu atakuwa na umri karibia miaka 90!

..gazeti la the citizen wameandika kwamba Mark Bomani amefariki akiwa na miaka 88.

..kama huo ndio umri wake sahihi basi atakuwa amezaliwa mwaka 1932.
 
Kwakuwa aliyefariki ni Mtanzania ndani ya Tanzania tena kiongozi mstaafu hakupaswa Ku tweet tena hasa kipindi hiki ..
Alitakiwa atoe pole rasmi ya ikulu ama aende physically
Nasikia yupo mapumzo ya tathimini ya kwanza ya mbiringe za kampeni, so hawezi kwenda.
 
IRP Mwanasheria mkuu wa kwanza mtanganyika.

IRP. Mwasisi wa BAKWATA.

🙏
 
Kila nafsi itaonja umahuti

Inallillah wainallillah rajiun
 
Back
Top Bottom