PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!



 
Huyo Johari

Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya mwenzie Samia

Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!


Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?

Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!

USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU

Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!

Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!

Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?

Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!

Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!

Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!

USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI

Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?

Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!

Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
 
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
 
Nadhani wanachoweza kufanya ni kumzuia Mange asiingine Tanzania, lakini hawawezi kumkamata kama kweli alishachukua uraia wa Marekani kwani wakimkamata watakumbana na rungu la serikali ya Marekani kuhusu kulinda haki za raia wao. Labda kama Mange anaishi kwa green card tu ila kama ni kweli alishachukua uraia wa Marekani watakuwa wanajifariji tu.
 
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

Aanze kwanza kumkamata vampire samuya kabla ya kuwaza mambo yaliyo nje ya uwezo wake.
 
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

🤣🤣🤣🤣

Kwanza nicheke yaani baadala ya kufocus na mambo ya ICC anahangaika na Mange.

Kingine Mange sio muharifu, kabla ya nchi yoyote kumrudisha mtu lazima Samia achukuliwe hatua
 
Huyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.

Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdamganya Mpumbavu mwenzie Samia
Hata angekuwa hana Uraia wa Marekani hawana uwezo wa kumkamata mtu yoyote. Mwenye video za mauaji.

Yaani tena kama mtu anataka kusepa TZ akusanye zile video na Habari ya Marekani kuwa Nchi inakamata watu wenye video, faster wanakuhamisha Tanzania
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi,kuchafua nchi,halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi,nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Huna akili wewe, unam deport raia wa marekani Tz?.
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi,kuchafua nchi,halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi,nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Kagame??? Mbona hivi hawa???hawamshauri huyu mama ???
 
Back
Top Bottom