PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi kule Zanzibar wamewahi kuwa na mwanasheria mkuu toka Tanganyika? Kwani wizara ya sheria yaweza kuongozwa na mzanzibar? ipo kwenye zile wizara za muungano? Tuanzie hapo kikatiba
Wizara ya Sheria sidhani kama ipo kwenye Muungano
 
1713817839181.jpeg
 
Hana akili huo anavimbia cheo cha asante kwa kazi ya kusimamia mkataba wa hovyo wa bandari ya dar es salaam
 
Binafsi nimeangalia body language yake na namna anavyoongea itoshe tu kusema tumemsikia ila mhhhh
 
Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Aisee kweli bongo punguani mpo wengi sana. Kwa hiyo unadhani wale sniper walitokea bongo siyo?
 
Nadhani wanachoweza kufanya ni kumzuia Mange asiingine Tanzania, lakini hawawezi kumkamata kama kweli alishachukua uraia wa Marekani kwani wakimkamata watakumbana na rungu la serikali ya Marekani kuhusu kulinda haki za raia wao. Labda kama Mange anaishi kwa green card tu ila kama ni kweli alishachukua uraia wa Marekani watakuwa wanajifariji tu.
Kwanza kumtoa mtu USA kwa extradition ni mbinde usipime. It’s even harder if they know the defendant is going to be tried by a kangaroo court!
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Welcome to Elora, njooni timu nzima.
 
Tunako elekea hata waziri na mbuge atakua na mamlaka ya kusaka waharifu majumbani!
 
Tupo hapa leo kwa sababu ya makundi mawili mafisadi ya CCM na wafuasi wa CDM (if you could assess them for what they are).

CDM hasa wafuasi wa Lissu ni kundi la wajinga kupindukia.
 
Nasikia hakuna shule ya shelia alipohitimu na hajawahi kuwa wakili.

Na kuhusu kumtoa mharifu marekani mpaka awe na kesi ya uharifu au mauaji pande mbili zote na isiwe kesi ya kisiasa.
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
It's Extradition not Deportation.

Hamza spoke of Extradition not Deportation.

The two are distinct legal terms.​
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Hawana ubavu wa kuweza kumuua mtu ndani ya Marekani, unafiki ni sawa na kwenda kumuua mtu Nakuru, Kenya au Jinja, Uganda hizo ni ndoto za machawa tu.


View: https://youtube.com/shorts/HdEZ6QhBBnY?si=FR3TGePB-bEtkWuz
 
Watanzania kuingia Marekani kwa sasa ni ndoto na pia rekodi mbovu ya haki za binadamu iliyonayo serikali ya Tanzania inafanya mpango huo kubakia ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom