PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
katiba mpya cheo cha mwanasheria mkuu kifutwe au kiangaliwe upya kwani kwa sasa hakina msaada kwa Nchi zaidi ya kuingiza Nchi kwenye Hasara nyingi kwa mikataba mibovu, Nchi kupenda kesi kesi kuliko maendeleo kutumia mda mwingi kuwabambikia kesi chadema badala ya maendeleo, mwanasheria mkuu anakuwa mtenda maovu kuliko wananchi wa kawaida
 
Mlimkata lissu mkajua mmeshinda akifa mange watainuka wengin Hadi muache kuabudu sanamu la samia
Cheo cha mwanasheria mkuu kwa sasa ni cheo cha uonevu siyo haki tena
 
Hahaha hyo case itakua more interesting kuliko case ya Lissu.

Itawavua Nguo, Kuliko ilivo wavua wakati wa lissu, na Kwa taarifa yao, Raia wa USA hawezi kuhukumiwa mahakama za TZ.

Lazima case ifunguliwe USA.
Polisiccm na mahakamaccm na mwanasheria wa ccm huwa wakikaa pamoja hutengeneza uonevu wa kutisha sana
 
Hamna kitu unaweza fanya, mikwala mingi solution zero, fuata kilichokuleta hapo kuvuna kwenye shamba la bibi
Mwanasheria wa ccm kazoea kuwabambikia kesi chadema kwa uonevu, sasa akajua na Mange ataweza kumfanyizia hivyo hivyo
 
This is fantastic!

We got him right where we want him.

1. He’s emotional. Kwanza kwa nini anaongelea appearance ya Mange? Si ajabu huwa ana masturbate kutumia picha yake.

2. Mwanasheria mkuu ambaye hajui kama tuna extradition treaty na Marekani 😂. Dumbass.

3. Anatoa siri za maagizo unwittingly. Which is more ammunition for the other side.

4. Mange atapata fursa nzuri sana ya kuwasilisha madhambi yao kwa State Department na Justice Department.

We need the top echelon of the US government to have intimate knowledge of their actions.

So I’d like to tell him that….please go ahead and make our day.

He is a blessing in disguise 😂. I’m smiling already.

Badala ya ku focus na wale wauaji, yeye focus yake iko kwa Mange.

Upside down priorities.

But is should be expected.
Mwenye CV ya mwanasheria mkuu, tafadhali atujuze.
He is emotional like a common swahili housewife. Can't think on his legs. Reveals unknowingly instructions given to him in public.
CV yake please.
Kuchoma gari ya ofisi ya mwanasheria mkuu imekua issue kubwa kuliko mamia walio poteza maisha, tena wasio kua na hatia.
 
Nchi imejeruhiwa watu wana machungu moyoni wanalia na kusononeka sana, badala mwanasheria wa ccm abuni mbinu za kutibu majeraha hayo kaamua kuwa busy na mange ili atengeneze bajeti ya kula pesa kwa kisingizio cha kutuma watu USA wakamsake mange, huo ni wizi wa pesa za walipa kodi, mwanasheria wa ccm ajikite kuishauri Serikali yake ya ccm waache kutumia mda mwingi pesa nyingi kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, ikiwemo kuwabambikia kesi za uongo chadema, ajikite kushauri Serikali ifanye maridhiano iwaombe watanzania msamaha irejeshe Amani na upendo badala ya kuhangaika na mambo ya hovyo
 
Nchi chini ya ushauri wa mwanasheria wa ccm inapitia wakati mgumu sana, maendeleo yanachelewa mno kwa kuendekeza uonevu manyanyaso kesi kesi badala ya maendeleo
 
Mwenye CV ya mwanasheria mkuu, tafadhali atujuze.
He is emotional like a common swahili housewife. Can't think on his legs. Reveals unknowingly instructions given to him in public.
CV yake please.
Kuchoma gari ya ofisi ya mwanasheria mkuu imekua issue kubwa kuliko mamia walio poteza maisha, tena wasio kua na hatia.
Hana huruma huyo mwanasheria wa ccm moja ya cv yake hajawahi kuwa wakili hana mhuri wa uwakili anzia hapo kwanza
 
Kumkamata raia wa merikani ni kuikamata Amerika.usije shangaa nyambisi iko feri kwa kumuokoa mmoja tu.Kwa mtazamo wangu mange ni kipaza sauti tu.Mwenye kipaza sauti yumo nyumbani mwetu wenyewe kwa kukosa uaminifu na uzalendo kwa Taifa letu
 
Tuna mambo mengi sana kama taifa ya kuyapa kipaumbele baada miaka 50 ya Uhuru wao hicho tu ndio wamekiona hawajiulizi ata kichwani mwao kwamba kitu gani kinasababisha hawa wakosoaji na wangekuwa na akili wangefix hapo kwenye "sababu" na Si kudeal na aliyezungumza baada ya wewe kumpa sababu ya yeye kuzungumza.
 
Tuna taifa zuri sana ila watu wake wanachangamoto, Kange Lugola aliapa kumkamata kigogo, badala yake akafukuzwa kazi, huyu mwamba kaapa kumkamata Mange kimambi, ngoja tuone.

Kama vipaombele vyeti ni kukamata watu, sidhani kama tutakuwa na malengo ya kulinda na kuhakikisha matumizi sahihi ya raslimali zetu; hakuna tija ya kushughulika na watu wenye malengo chanya dhidi ya raslimali zetu kwani wao hutoa ushauri, mawazo, maoni nk yasipofanyiwa kazi ndo mvutano huanza na kuwa maadui wa taifa hili.
Tutunzeni Amani yetu ambayo ndani yake Haki inakaa na kuwa sehemu chanya ya matumizi mazuri ya raslimali zetu kwa manufaa ya watu wake na taifa letu
 
Huyo Johari ni Msenge tu kama

******* wenzie!.

Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia

Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!

Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?

Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!

USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU

Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!

Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!

Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?

Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!

Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!

Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!

USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI

Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?

Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!

Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja

Huyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.

Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Humo hakuna mwanasheria, just another idiot from zanzibar
 
Wale wagonjwa akili wa marekani ukiwapa $10k wafumue kichwa,ni chapu tu huyo Malaya anarudi mzoga hapa
Hapakua na sera za kushughulikia wachochezi,ila nadhani inafuata, maana bila hivyo zogo kila siku
Malaya mama yako anayenuka uozo
 
Kwamba hakukuwa na mtu mmoja mwenye akili timamu akamstua hapo kuwa acha kuropoka unatia aibu Taifa wewe ni mwamasheria mkuu wa serikali na sio mgambo, mbona hata huyo Polisi mpelelezi mwenye akili zake hawezi kuongea ujinga huo hadharani.
Masikini mama wa watu anaenda kuitia hasara nchi kwa kudanganywa aidhinishe hela ili Mange akamatwe wahuni wanaenda kupiga hela mchana kweupe.
Kwa kumsaidia tu Mange anajua huu ujinga wao na atawaabisha mchana kweupe na kama wanadhani USA ni Malawi au Tarime wajaribu ili baadae wapate wafungwa wao wakiwa US. Watadakwa kama watoto na pia asichokijua ameweka ugumu kwa maofisa wao na wengine kupata VISA ya kuingia huko.
Hawa wajinga ndio wanamshauri Rais vibaya mwisho matusi yanarudi kwa Rais wao washachukua hela za kumuongopea na yeye bila hata kujiuliza anakubali tu.
Tunajua Rais wetu Elimu yake sio nzuri sana lakini google hamsaidii kwenye mambo madogo kama haya? Si ampigie tu hata Tundu Lisu huko gerezani amuulize eti Johari alichosema kina maana?
Daaah mbavu sina
 
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

Johari katisha kwa kuonesha uelewa mdogo wa kinachoendelea. Mimi ninavyojua, EU na USA now watakomaa na haya mambo na matokeo yake ni kuibana serikali 100% mpaka ishindwe kupumua na as a result serikali ya Dkt Samia itaishia kuiuza nchi ili kuwanyamazisha hao wazungu. In fact wazungu kwa hii kitu kwao ni bonge la dili na siyo kwa watanzania.
 
Hili nalo ni tatizo jingine. Wananchi wanapo hoji uwezo/upeo wa kufikiri wa viongozi wao, heshima kwao inapotea
 
Back
Top Bottom