Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mange alishajieleza kwa FBI na wakamuelewa kwa nini anafanya vile. Sasa huyu mwanasheria wetu sijui atakuwa na lipi la ziada la kuwafanya wamarekani wam deport Mange Kimambi ilihali wanajua akija huku atafikia kuuwawa.🤣🤣🤣🤣
Kwanza nicheke yaani baadala ya kufocus na mambo ya ICC anahangaika na Mange.
Kingine Mange sio muharifu, kabla ya nchi yoyote kumrudisha mtu lazima Samia achukuliwe hatua