EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Huyu Mzee mbona akili hana
Nilicheka sana baada ya kusikia hili.NiHuyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.
Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia
Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!
Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?
Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!
USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU
Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!
Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!
Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?
Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!
Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!
Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!
USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI
Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?
Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!
Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Hivi mnaovaa ushungi wote mna mapepo?Mange kijambo auwawe tu
Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Wanadeal na matokeo badala ya kudeal na chanzo.Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Wanadeal na matokeo badala na kudeal na chanzo. Wasipoipa thamani kura ya mtu hivi vitu vitatokea sana.Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Hii nchi ina mijitu ya ovyo sana. Labda hicho ndicho kipaumbele cha serikali hii ya kuzimu.Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Nilichogundua yeye na anko T ni some levelKwanini ulijua mtu?
😅
Nyinyi vilaza mliofeli mtihani wa kidato cha nne uwezo wenu ni kuwakamata watoto tu wa tiktok, instagram na facebook. Uwezo wa kumkamata Mange Kimambi na hizo akili zenu za kuvukia barabara, hamna!Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Damage gani? ku expose use.nge unaoendelea?....kaa mbali na mimi wewe binti....Damage aliyoisababisha unaiona ni ndogo?
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Aisee Kenya washenzi watamuuza akiendelea kuishi hapo....Maria Sarungi hapaswi kuendelea kuwa nchini Kenya!!
Ungechomoza kichwa chako nawewe kama ungekuja kuongea upumbavu hapa.Damage gani? ku expose use.nge unaoendelea?....kaa mbali na mimi wewe binti....
Serikali ya samaki inaaza kutapatapa itoe maagizo kwa Trump.