PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa mara ya kwanza tangu Dunia kuumbwa tunamshuhusia Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye sio Wakili na hajawai kupitia Law Schools yoyote.

Anaitwa Hamza Johari, Mzanzibar ambaye ni mteuzi wa Samia kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Tanganyika, Huyu ndiye aliyesimamia uuzwaji wa Bandari zote za Tanganyika ikiwemo Bandari kuu ya DSM.
Kashakuwa Mzanzibari tayari? Yote hii ili iweje yaani?
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Na wewe ni nani?

Msaamia mkubwa wewe
 
Wale wagonjwa akili wa marekani ukiwapa $10k wafumue kichwa,ni chapu tu huyo Malaya anarudi mzoga hapa
Hapakua na sera za kushughulikia wachochezi,ila nadhani inafuata, maana bila hivyo zogo kila siku
Alisema kuua au kumkamata??
 
Jamaa kanishangaza sana na kaniacha na maswali mengi sana sana. Hivi kweli kipaumbele chake kinakuwa kumkamata Mange? Kaikosea sana nafasi ya Mwanasheriq mkuu wa serikali daaah kaz ipo
 
Ongea yake tu inaonyesha kichwani hamnamo kitu..

Eti baada ya kuapa nimepewa maagizo. Hili nalo la kusema public?...

Je, Mbona huzungumzii kukamata Askari waliofanya muuaji??..
Halafu wanazidi kupigilia msumari yale madai ya mange kuwa FBI walimwambia serikali ya Tanzania imekodisha watu wa kumuua. Hii serikali ya Samia ina watu wapumbavu mno mno, washamba wanaodhani ukishakuwa na fedha na madaraka basi wewe unaweza kufanya chochote. Ndiyo maana lile toto lake Abdul lilikuwa linazurura kwenye nyumba za watu kujaribu kuhonga kila mtu
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Nimecheka sana
 
Huyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.

Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia

Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!


Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?

Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!

USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU

Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!

Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!

Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?

Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!

Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!

Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!

USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI

Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?

Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!

Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi,
 
Hawa Diaspora wanaoishi Marekani wanajiona wako salama sana, kama waliweza kumshambulia Rais wao wakati wa Kampeni, na Raia wa kawaida wajue hawako salama. Ni suala la muda tu.
Wewe uko salama
 
Wewe na huyo mwenzio wote wase.nge....kifo cha JPM kilifunua mambo mengi sana....hao watu unaosema wa usalama ni takataka tu.....JPM hakutakiwa kufa....kwa kuwa wewe ni lofa huwezi kuelewa...umewahi kujiuliza kwa nini watumishi wa umma wameamua kutoa siri za ndani hadi za ikulu?...Mange kama Mange angezipataje?.....endeleeni kufukuzana na mange..tafakari wewe mse.nge....
Hayafikirii vzr sjui yameshiba nini! Mange taarifa anapewa na wao wenyewe ila kwasababu akili ni nywele basi yanaropoka tu kufikiria aaanhhh! Yani mtu anashindwa tu kuangalia wanaompa taarifa ni watanzania basi anaona akimbilie kuandika mange ni malaya! Yani tusi kubwa kumpa mwanamke mwenzie kaona ni hilo! Wanawake wengine kutojitambua tu, muda wote kumpammbania mama sijui ndio bread winner kwake🫢 ata muda wa kumpa mmewe mnofu hana yuko apa 24/7 kumuwaza mange kuna mitahira mingi huku kwetu🙁
 
Nia yenu ni kuiba hela za umma ...mtengeneze bajeti ya kumtafuta Mange mkasainishe ikulu kama kawaida yenu...mpige hela ...mgawane..then mkanunue magari mpaki majumbani kwenu...wase.nge sana nyie....
 
Kuna kitu nimeanza kukiona baada ya kuwa mtu mzima viongozi wetu wanavyoreason tu unajua kabisa kama taifa tuna safari ndefu kupata maendeleo
Cha ajabu unajiulizq wanafikiaje hizo position kama maarifa hayawezi onekana kwenye matendo yao
Wapumbavu sana...yaani wewe unaapa jukumu la kwanza unalopewa kamtafute Mange....kweli?.....aisee...takataka
 
Back
Top Bottom