Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Serikali ya samaki inaaza kutapatapa itoe maagizo kwa Trump.
Republican walitishia kum-deport mayor mteule wa NYCHuna akili wewe, unam deport raia wa marekani Tz?.
Wanzanzibari nendeni kwenu. Hamtaweza kumkamata. Huwezi kumkamata mtu mwenye Uraia wa USA ! Mguseni mtu mwenye US passport tena US muoneWakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Jaribuni muone. Huko sio Kizimkazi. Walami wanakwendaga kukamata hata Rais wa nchi nyingine!Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi,kuchafua nchi,halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi,nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
AU vilaza wenzenu wamesema uchaguzi wenu ni batili.Republican walitishia kum-deport mayor mteule wa NYC
Mnapenda sana ku-overestimate uwezo wa Tanzania... Tanzania imekuwa nchi ya ovyo sana ngoja sasa tuwanyooshe mjue maana ya Usalama wa Taifa unavotakiwa kuwa.Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi,kuchafua nchi,halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi,nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Nchi inayoshindwa kukamata mtu aliyeko Nairobi inaweza mkamata raia wa Marekani au kumuua raia wa Marekani huko huko Marekani? Mmekuwa Mosad?Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi,kuchafua nchi,halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi,nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Wale wagonjwa akili wa marekani ukiwapa $10k wafumue kichwa,ni chapu tu huyo Malaya anarudi mzoga hapaNchi inayoshindwa kukata mtu aliyeko Nairobi inaweza mkamata raia wa Marekani au kumuua raia wa Marekani huko huko Marekani? Mmekuwa Mosad?
😂😂😂
Nyie mnaweza kuuwa watoto wadogo waliotumwa dukani tu kununua nyanya hapo Magomeni
We jamaa ni matako meusi.Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Kwa hiyo umekubali nyie hamuwezi kuua mtu marekani au raia wa USA akiwa kwao USA hadi muombe vichaa wa USA wawasaidie. Imagine nyie ndiyo washauri wa Samia😂😂😂Wale wagonjwa akili wa marekani ukiwapa $10k wafumue kichwa,ni chapu tu huyo Malaya anarudi mzoga hapa
Hapakua na sera za kushughulikia wachochezi,ila nadhani inafuata, maana bila hivyo zogo kila siku
Jamaa anajiamini sana!!
Siombei tupigane wenyewe kwa wenyewe lakini nakubaliana na wewe ipo overestimated.Kwa kifupi imekuwa Nchi ya hovyo.Mnapenda sana ku-overestimate uwezo wa Tanzania... Tanzania imekuwa nchi ya ovyo sana ngoja sasa tuwanyooshe mjue maana ya Usalama wa Taifa unavotakiwa kuwa.
Mtapigana wenyewe kwa wenyewe hadi Askari wakose hela ya kuweka kiraka
Hata kuelewa shida,unajichekesha kama zezetaKwa hiyo umekubali nyie hamuwezi kuua mtu marekani au raia aa USA akiwa kwao USA hadi muombe vichaa wa USA wawasaidie. Imagine nyie ndiyo washauri wa Samia😂😂😂
Mwombeni Kagame au Mosad wawasaidie
Siwezi kuelewa ujingaHata kuelewa shida,unajichekesha kama zezeta