PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Mlimkata lissu mkajua mmeshinda akifa mange watainuka wengin Hadi muache kuabudu sanamu la samia
 
Akina likwelile. Mafuru. Dr Natu . Fenera mukangara. Zitto sabanga, kafulila. Na kuna dogo alikiwa Katibu wa JK kaka yake Vanessa Mdee marehemu Adam isara huyu dogo hakika alikuwa anaadndaliwa aje kuwa hata Raisi kwa akili zake haiba ya usikivu na utekelezaji. Akina Togolani. James Bwana wote ni grooming and proffessional support ya JK
 
Siku hizi Teuzi zinatolewa kwa maagizo, na sio sifa, vigezo wala Weledi wa mtu husika ktk nafasi takwa.

😢😢
 
Hamna kitu unaweza fanya, mikwala mingi solution zero, fuata kilichokuleta hapo kuvuna kwenye shamba la bibi
 
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

Hapa Columbia, South Carolina, nimekutana na Prof.Thomas Crocker, mbobezi wa sheria za katiba (Constitional Law) na sheria za usalama (National Security Law). Nimemuuliza uwezekano wa Mange kurudishwa TZ na kushtakiwa kwa uchochezi. Bahati mbaya hamjui Mange lakini nimemwelezea kwa kifupi na tuhuma zinazomkabili.

Kwanza amecheka. Kisha akasema hawezi kukamatwa na kurejeshwa TZ kwa tuhuma za uchochezi kwa sababu Katiba ya Marekani inalinda uhuru wa kujieleza na uchochezi si jinai kwa sheria za Marekani. Nikamuuliza kuhusu "Extradition agreement" akasema haiwezi kutumika kwa makosa ya kisiasa au yanayohusiana na uhuru wa maoni.

Akasema Katiba ya Marekani (1st Ammendment) inalinda uhuru wa kujieleza na inakataza serikali kuzuia raia au wakazi wake kutoa maoni yao hata kama yanakosoa serikali ya Marekani au serikali nyingine. Kwa kuwa Mange ana greencard (permanent resident), anafaidika na ulinzi huu wa Kikatiba kama mkazi wa kudumu wa Marekani. Hivyo matamshi yake hata kama yanachukuliwa kama uchochezi na serikali ya TZ, si kosa la jinai Marekani.

Nikamuuliza kuhusu Sheria ya makosa ya Mtandao (The Cybercrimes Act 2015) ambayo inatafsiri matamshi ya Mange kama uchochezi? Akasema si jinai kwa sheria za Marekani hivyo haiwezi kuwa msingi wa ombi la extradition.

Akasema mkataba wa extradition unahusu makosa yanayotambuliwa na nchi zote mbili (dual criminality). Kwa kuwa Marekani haitambui uchochezi kama kosa la jinai haitaidhinisha extradition kwa msingi huo.

Wakati nasikiliza nondo za Prof Crocker nikajiuliza je AG wakati anajiapiza kumleta Mange alikua hajui yote haya?

Anyway, mwisho akaniambia US na TZ ni wanachama wa International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR), ambayo inalinda uhuru wa kujieleza. Mange anapokosoa, anafanya hivyo chini ya haki ya kimataifa ya kutoa maoni, ambayo Marekani inaiheshimu sana. Kwahiyo kumkabidhi kwa serikali ya TZ ni kukiuka mkataba huu, jambo ambalo haiwezi kufanya.

Kwa kifupi nimejifunza kuwa Sheria za Marekani kuhusu uhuru wa kujieleza, Extradition agreement, Mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu na Kigezo cha dual criminality vyote vinamlinda Mange. Sijui AG atatumia muujiza gani kumleta? Labda ungo 🤷‍♂️
By MALIISA G.J
 
mh huyu jamaa anavyoongea kwa mkwala, hamna kitu mwenzio muliro na mikwara yake kiko waap nauliza?
anatumia commanding tone kuficha madhaifu yake time will tell
 
Hahaha hyo case itakua more interesting kuliko case ya Lissu.

Itawavua Nguo, Kuliko ilivo wavua wakati wa lissu, na Kwa taarifa yao, Raia wa USA hawezi kuhukumiwa mahakama za TZ.

Lazima case ifunguliwe USA.
 
Hahaha hyo case itakua more interesting kuliko case ya Lissu.

Itawavua Nguo, Kuliko ilivo wavua wakati wa lissu, na Kwa taarifa yao, Raia wa USA hawezi kuhukumiwa mahakama za TZ.

Lazima case ifunguliwe USA.
Ana uraia wa Marekani wa aina gani wa Green Card 33 years au?
 
Hajazumgumzia kuhusu wale wahalifu waliofanya mauaji ya kutisha Oct 29
 
Huyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.

Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia

Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!


Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?

Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!

USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU

Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!

Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!

Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?

Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!

Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!

Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!

USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI

Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?

Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!

Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Hivi kule Zanzibar wamewahi kuwa na mwanasheria mkuu toka Tanganyika? Kwani wizara ya sheria yaweza kuongozwa na mzanzibar? ipo kwenye zile wizara za muungano? Tuanzie hapo kikatiba
 
Hajazumgumzia kuhusu wale wahalifu waliofanya mauaji ya kutisha Oct 29
Cheo cha mwanasheria kwa Tanzania bora kifutwe kwani kimetumika kuwabambikia kesi chadema, kuingia mikataba mibovu
 
ICC The Hague kwanza kabla ya chochote waanze na huyo mwanasheria wa Serikali
 
Kwa hiyo umekubali nyie hamuwezi kuua mtu marekani au raia wa USA akiwa kwao USA hadi muombe vichaa wa USA wawasaidie. Imagine nyie ndiyo washauri wa Samia😂😂😂

Mwombeni Kagame au Mosad wawasaidie
Huu upumbavu wako kaa nao huko gheto unaposhinda ukivuta bangi kwani huna huruma hata na utekaji mauaji kuwabambikia watu kesi hovyo
 
Ongea yake tu inaonyesha kichwani hamnamo kitu..

Eti baada ya kuapa nimepewa maagizo. Hili nalo la kusema public?...

Je, Mbona huzungumzii kukamata Askari waliofanya muuaji??..
Cheo cha mwanasheria wa Serikali kwa Tanzania hutumika vibaya sana yafaa sasa afikishwe kwenye mahakama ya uhalifu ICC The Hague ili apate fundisho
 
Serikali inayopenda kesi kesi umbea mikataba ya hovyo uonevu mwingi ni vigumu ipate maendeleo
 
Samia ingawa anadai reconciliation kwa nje .... ndani bado anataka kuwafanyizia waandamanaji. Haiwezekani agizo la kwanza kwa Mteule wake wa kwanza kwenye awamu hii ni agizo lake la kwanza ni kumkamata Mange. This tells you what we are up to and what is coming or cooking behind the scene.
Serikali ya sasa imekaa kiumbea mbea imejaa majungu fitna visasi uonevu kupenda kesi kesi ligi zisizo na tija kwa maendeleo ya Nchi, wanatumia mda mwingi kuwaza mambo ya hovyo kuliko maendeleo
 
Back
Top Bottom