Huyu ndiye alikuwa head of Tanzania negotiating team kwenye deal la ile IGA ya DPW na bandari zetu,
IGA ile ilikuwa na makosa makubwa ya kisheria kwenye maeneo 3 ya msingi
1. Capacity to contract
Ukishakuwa umeingia mkataba na mtu au entity ambayo haina the capacity to contract, mkataba huo unakuwa void ab initial, yaani kisheria ni sawa na hakuna mkataba Thread 'Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!'
Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
2. Mkataba ule na illegality kwa kwenda kinyume na sheria yetu ya rasilimali za taifa Thread 'Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?'
Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Nikapandisha bandiko lenye kuonyesha the legal defects za ile IGA Thread '"IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?'
"IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?
Nikauliza huyu jamaa alisomea wapi sheria yake, sikujibiwa,
Siku alipohojiwa kuhusu IGA, nilipomsikia, nikapandisha bandiko humu,
Serikali imepeleka Bungeni sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili wa kwenda kinyume na katiba, na ikapita! Thread 'Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?'
Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?
Serikali kupitia Bunge imeivunja NEC ambayo ni zao la katiba na kuunda INEC bila kufanya mabadiliko madogo ya katiba wakati Bunge halina mamlaka ya kubadili chochote kwenye katiba bila kufanya mabadiliko madogo ya katiba, hivyo tumeivunja NEC kinyume cha katiba, tumeiunda INEC kinyume cha katiba, na tumefanya uchaguzi kutumia INEC wakati kwenye katiba bado ni NEC.Thread 'Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?'
PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
Hivyo nimekuwa na mashaka na umahiri kisheria wa AG wetu, nilipomsikia akizungumzia hili la Mange, sasa nimethibitisha we have an issue here!.
Anasema ataangalia kama Tanzania tuna extradition treaty na Marekani!, hiki ni kitu cha kusema tutaangalia, this is a thing they should have known better by now kumbe leo ndio ataangalia!.
Kwa American subject Marekani haina extradition treaty na nchi yoyote, na Marekani akifanya jinai popote, anarudishwa nyumbani na kulindwa, yule boss wa peace corps ametuulia Dada yetu Mtanzania kwa kumgonga in a hit and run car accident, akakimbizwa kwao, anaishi raha mustache, huku watoto Fatima wa huyo marehemu wakiteseka!.
Na kuna vitu vingi vinafanywaga kmya kimya, havipaswi kusemwa, kitendo cha kauli ya AG ndio life insurance ya Mange, kikimkuta chochote!, Trump mwenyewe anatua nchini kuja kumdakua mtu!. Sio kila maelekezo ni kusema, wakajifunze kwa PK, wapinzani wake huko walipo wanayeyuka tuu kimya kimya!.
Ukimkimbiza mwizi kimya kimya unamshila, ukipiga makelele mwizi mwizi, anasikia sauti inatokea wapi,ana sepa zake!.
P