PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states,
Hahaha,
Machawa mnajitekenya wenyewe.
Yaani utoke kwenye shithole dhaifu uende kuuwa raia wa Marekani ndani ya US, halafu??

Wale wanajali sana raia wao, siyo kama nyie.

Wakituma zile Bomber zao mtajificha wapi?
 
Tunaongozwa na vilaza
huyu ndo mwanasheria mkuu wa Tz
anaongea upupu hivi

Kila kitu kipo wazi video na picha za mauaji ya halaiki vipo wazi
Sasa huyo Mange akamatwe kwa kosa gani?

Mimi naona samia ana kesi ya kujibu damu za watu zitamgongea mlango milele.

Samia ingawa anadai reconciliation kwa nje .... ndani bado anataka kuwafanyizia waandamanaji. Haiwezekani agizo la kwanza kwa Mteule wake wa kwanza kwenye awamu hii ni agizo lake la kwanza ni kumkamata Mange. This tells you what we are up to and what is coming or cooking behind the scene.
 
Kazi ya DCI itakuwa ni ipi?

Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Haina "terms of reference"?
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Wachochezi wakuu wako ikulu. Anzeni nao.
 
Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Laana zenu mmezikumbatia na mnazilinda, tena ndizo laana kuu kwa taifa letu🙆‍♂️
 
Mange achukue ushahidi mwingine huo wa kupeleka ICC.

Anazidi kufanya mambo yawe magumu anaropoka ujinga siku ya kuapishwa kwake na boss wake..!!
Haya yanatokea makusudi ili watu wahaibike

Mungu ni wetu sote
 
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

Huyu tiyari ameshafeli kabla ya kuanza, huwezi kuwa na madaraka makubwa kama haya ya mwanasheria mkuu wa Serikali alafu kwenye akili yako unawaza kwenda kushughulika na mtu mmoja, this is a big mistake na hataka kama ana Nia hiyo ovu bado alitakiwa kubaki nalo moyoni na siyo kutamka hadharani.

Mwanasheria wa Serikali alipaswa kumshauri Rais namna gani kufanyike marekebisho kwenye vyombo vya usalama na vinavyosimamia HAKI Hali ambayo itapekelekea kupunguza wakosoaji wa moja Kwa moja kumlenga Rais na Serikali.


Mwananchi akishaona anaweza kupata HAKI kwenye ngazi za chini hawezi kamwe kuelekeza ukosoaji kwenye ngazi za Juu. Hawa wateuliwa wajifunze na wamsaidie Rais badala ya kuendeleza mipasuko ambayo mwisho wa Siku inazidi kumchafua Rais.

Natabiri Kwa aina hii ya wateuliwa tutegemee activits wengi wanaoipiga Serikali kuongezeka zaidi
 
Um
Huyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.

Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia

Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!


Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?

Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!

USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU

Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!

Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!

Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?

Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!

Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!

Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!

USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI

Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?

Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!

Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Umughaka niaje Mkuu?kitambo sana hujashusha nondo
 
Kilichotokea ni kuutia shakani usalama wa nchi, kuchafua nchi, halafu unadharau maamuzi ya kushughulikia wachochezi, nimeona kawataja watu wa usalama kuwa watakua na vikao vyao vya kiusalama, maana yake kama deportation itashindikana basi ni chuma hukohuko states, na wasiishie kwa huyo tu bali wachochezi wote
Ukinyimwa akili unakuwa mzigo mzito sana Kwa familia yako na taifa

Kwa hiyo wanatetea haki za watu waliotekwa na kuuwa kinyama ndo wachochezi

Kwani ukificha upambavu wako UTAPATA hasara gani
 
Kumleta Mange sio kama kutawadha.
Someni extradition laws kwanza. Huwezi kutoka chooni eti ukawavae wamarekani wakupe raia wao ukamuue. Mange yuko pale kwa GREEN CARD.
 
Johari ni mwanasheria mkuu wa samurai sio mwanasheria wa serikali
 
Ukinyimwa akili unakuwa mzigo mzito sana Kwa familia yako na taifa

Kwa hiyo wanatetea haki za watu waliotekwa na kuuwa kinyama ndo wachochezi

Kwani ukificha upambavu wako UTAPATA hasara gani
Wapumbavu sana nyinyi,kuharibu mali ndiyo kutetea waliotekwa?.. halafu mbona wewe hujatekwa?
 
Ivi m
Wakuu,

Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.

----------------------------

Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!

Eti mama kweli kimambi ndio agenda ya Taifa letu yaani ndio priority,watu wako wameiba Kodi zetu mara mktaba umesainiwa gizani ukiwekwa wazi watu wajue shida inakuwa aliyeuweka hadharani na sio aliyeusaini kweli.
Imagine Mali ya familia nzima mtu mmoja anajinufaisha huku wengine wakibakia hawana shamba la kulima wao watalisha wapi watt wao.
Nikuambie tu miktaba ungekuwa na manufaa na nchi Nina uhakika tusingekuwa na Kodi za ajabu ajabu Kama makato na tozo za miamala ya simu.
 
Tukubali tukatae Rais Kikwete aliweza sana kuspot vichwa mungu alimpa haiba ya kitambua watu wanaoweza kuwa watendaji wazuri.
JPM chuma pia aliweza sana kuchukua watu.wenye weledi kumsaidia.

Ila pattern ya mkuu sasa hivi ni watu aina fulani wako nusu nusu yaani kama ni jike linakuwa limejipaka makeup nyingi mpaka jasho likimtoka anatoka.michirizi ya makeup.
 
Back
Top Bottom