Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

Nani kakuambia CCM wanahangaika, wahangaike kwa lipi?
 
Hahahhaahhaaahahahhaaha nashukuru kuzaliwa Tanzania nchii. ya ajabusana
 
Asipowafukuza, ajue ndio mwisho wa CDM. Wanachama wamekasirika kweli kweli. Na Mbowe anajua hilo, hatuwezi kukaa na wasaliti. Hao unaosema waliomba radh na kuachana na mpango wao. Tunategemea nao wataomba radhi na kuacha mpango wao ovu ili wabaki ndani ya chama.
 
Safi sana AG .Wasilete 'ngendengwe' zao hapa.na hao ni wanaume wa CHADEMA wenye roho mbaya kama mashaitwan.
 
Huu utopolo umepuuzwa ulipouanzishia uzi,sasa umeamua kucopy kila sehemu😁😁😁!
Mnaweweseka sana!
 
Mwanasheria wa CCM kazini.. kumfurahisha baba yake.

 
Huyu nae katokea wapi?
Yanamhusuje mambo ya chama na wanachama wake?
Yeye angojee kuja kuitetea serikali huko ilikojikanyaga.
 
Kuna mtu anamsikiliza huyo AG kibaraka wa jiwe, huyo si ndio Cecil Mwambe alijitoa cdm akajiunga na ccm, kisha akarudishwa tena bungeni kwa maelezo ya kihuni? Sasa hapo kuna AG au muhuni aliyeamua kujidhalilisha ili apate mlo?
Huyo ni puppet wa Jiwe!Yaani prof mzima linakubali kulamba viatu vya wanasiasa!shame!
 
Halima kwanini unaweza taharuki kwa tamaa ya vyeo? Ivi kumbe nawebl huna tofauti na wale
 
Huyu AG kwenye hili suala la CHADEMA ameongea kama nani?

Mambo ya ndani ya Chama AG anayazungumzia Kwa Mamlaka yapi?
 
Maajabu ya mwaka haya. Kwa iyo amesema kifungu gani cha sheria kinakataza vyama kuwashughulikia wanachama wake??? Na amesema yeye Kama nani? Tangu lini mwanasheria mkuu wa serikali akavisemea vyama??? Kweli Fatma Karume alikuwa sawa juu ya huyu jamaa
 
Yaani mwanasheria wa serikali aingilie maamuzi ya vikao vya CDM?Hii ni wazi kuwa wameshiriki kufanya udanganyifu!Hii ni aibu ya karne!
Shetani hana urafiki/undugu. Keshawaponza na kuwauza wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…