Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Hawa jamaa wako desperate na hela za mabeberu mpaka wanafanya upuuzi uliopitiliza!Maajabu ya mwaka haya. Kwa iyo amesema kifungu gani cha sheria kinakataza vyama kuwashughulikia wanachama wake??? Na amesema yeye Kama nani??? Tangu lini mwanasheria mkuu wa serikali akavisemea vyama??? Kweli Fatma Karume alikuwa sawa juu ya huyu jamaa
Na wala hawatazipata. Hao mabeberu wanajua kuwa Hii ni michezo yao na wala hawataingia mkengeHawa jamaa wako desperate na hela za mabeberu mpaka wanafanya upuuzi uliopitiliza!
Mwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa Chadema Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumuuwa Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye uenyekiti wa chama.....
Hivi kuna mtu anayejitambua anasoma huo uchafu uitwao gazeti la Uhuru?
Hao ni wabunge halali lazima AG awalindeMaajabu ya mwaka haya. Kwa iyo amesema kifungu gani cha sheria kinakataza vyama kuwashughulikia wanachama wake??? Na amesema yeye Kama nani??? Tangu lini mwanasheria mkuu wa serikali akavisemea vyama??? Kweli Fatma Karume alikuwa sawa juu ya huyu jamaa
Kwanza mambo yalivyo tayari hatuwezi kujitoa ktk tope tumejiingiza kwa miguu yote.Sasa AG naye kazidi kuonyesha kilichopo ndani yakeNapata shida sana kuona CCM wenzangu tuna angaika na maswala ya chadema, waacheni waumane...
ARIHivi kuna mtu anayejitambua anasoma huo uchafu uitwao gazeti la Uhuru?
AG aendelee kufuata maelekezo ya pombe na Chadema waachwe wafate katiba ya nchi pamoja na katiba yao kuwashughulikia wanachama wao afu wakutane na huyo Ag katikati ya sheria....Covid 19 itokomezwe Chadema....hakuna namna.Yupo katikati ya sheria!
Hakuna MTU mkubwa kuliko taasisi...The thing is katika taasi ya CHADEMA kuna watu wakubwa kuliko taasisi yenyewe , hiki kitu siyo rahisi kukikuta katika taasisi zinazo jielewa
Hapo kifuatacho ni kalipio kali basi (msitegemee kusikia akina halima wamefukuzwa , )
[emoji1787][emoji1787]
Hushangai kwamba serikali haijakanusha tuhuma nzito za CHADEMA ? Hiyo ndiyo habari kuuMwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa Chadema Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumuuwa Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye uenyekiti wa chama....
Kwani Chadema iko juu ya sheria?
Wacha uongo mbona walitoa tamko tangu juzi tenalimo humu JF.Anayebidi aongelee hili suala kwa sasa ilibidi awe NEC lakini nao simu hawapokei wakipgiwa. Wanaona aibu hata kutoa matamko. Sasa huyu mwanasheria mkuu huo mchakato wa ndani ya CHADEMA alikuwepo mpaka apingane na Katibu wa chama!
Kweli Tanzania ina ajabu sana.
Mwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa Chadema Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumuuwa Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye uenyekiti wa chama.
Baada ya sauti hizo kuvuja mara moja chama kilitangaza kikao cha dharura cha kamati kuu kuwahoji ili waweze kuchukuliwa hatua kali sana ikiwa pamoja na kufukuzwa Chadema.
Matokeo yake baada ya kikao cha kamati kuu hao wabunge wauaji walisamehewa na kutakiwa kuomba radhi tu!
Kama hali ni hiyo, wabunge wa viti maalum Chadema si wauaji na wala hawajatishia kumuuwa mtu yoyote ila wanajaribu tu kutumia haki yao ya kikatiba iweje wafukuzwe Chadema?
Kweli kuwa mwanamke Chadema ni dhambi kubwa kuliko wapanga mauaji waliosamehewa??
Tusubiri na kuona kesho kikao cha kamati kuu chadema kitaamua nini ,bila shaka Mbowe is going to be tested again na maamuzi tofauti na kufukuza yatamwimalisha ,na maamuzi ya kufukuza hao wanawake itakuwa ni kiss of death kwa Mbowe na Chadema kwa ujumla.
Napata shida sana kuona CCM wenzangu tuna angaika na maswala ya chadema, waacheni waumane...
AG, chadema wakifanya kikao chao na kuazimia kuwa futa uanachama ni hatua gani utachukua? Ni itakuwa dhidi ya taasisi au utachukua kwa mmoja mmoja na kuiacha taasisi salama?
Kwa CCM wenzangu kushabikia hili ina tuingiza moja kwa moja ktk swala lenyewe, hivyo ni bora waumane wao kwa wao...
Maswala yao ya Ndani tuwaachie wenyewe, ili mradi wafate sheria za nchi.
Nawasihi tuwaache wapambane na mambo yao... Mfumo dume hauta kuja kuisha kuanzia ktk familia, ktk taasisi za kiimani mpka ktk serikali
Sasa wanao pinga mfumo Dume ktk siasa wana ajenda zao
Mh. Rais wa Zanzibar Dr. Mwinyi alieleza vizuri sana ktk hotuba yake na ktk maswali na majibu
Kidumu chama cha mapinduzi...