Mwanasheria na Msimamizi wa Wachezaji Dada Yasmine: TFF iachane upesi na Kocha Adel Amrouche kwasababu zifuatazo.....

Huu Ushahidi wako Logically una connection yoyote ile ya Mimi ama Kumkubali au Kumkataa Kocha Mkuu Mpuuzi wa Taifa Stars Adel Amrouche?

Kwanini huwa mnaoenda Kunilazimisha GENTAMYCINE niwe Nawadharau kwakuwa hamna Akili?
Connection hapo ipo tena logically maana katika post hiyo ulionyesha Amrouche alipewa shinikizo na watu uliowataja ila yeye haukumpa lawama yoyote ile. Kwa maana nyingine post yako ilikuwa inamsafisha kwa tuhuma za namna hii.

Na pia nimekuuliza mnatumia vigezo gani kusema Amrouche alimkataa Mzize wakati aliitwa katika kikosi cha awali lakini hakuitikia wito akaendelea na mazoezi kwenye kambi ya Yanga? Mbona hilo hamliongelei? Nani alimkingia kifua Mzize hadi akakataa wito wazi wazi bila kuchukuliwa hatua?
 
Wa Algeria kwao mwiko kusema uongo, wana falsafa ya, ni heri umwambie mtu ukweli akuchukie kuliko kumwambia uongo akupende.
Hii naona pia ni kwa watu weupe wengi.Huwa hawapendi kupindisha mambo hasa yale ya msingi.
 
Amevunja sheria zipi za mpira au ukocha?

Watanzania huwa hawapendi kuambiwa ukweli na kubanwa kwenye ulaji.

Wa Algeria kwao mwiko kusema uongo, wana falsafa ya, ni heri umwambie mtu ukweli akuchukie kuliko kumwambia uongo akupende.
Mama lililojaa udini huna unalojua kuhusu soka. KAA KIMYA
 
Kwa sasa hatuna kocha mzawa mzuri. Kama nchi tungekuwa na program za kuandaa makocha toka kwa wachezaji wetu waliotumikia taifa kwa muda mrefu kama akina Cannavaro ili wawe makocha wa Timu ya Taifa. Sasa angeandaliwa Mbwana Sammata apewe mikoba kwa siku za mbeleni ingesaidia.
hv kuna nchi inaandaa makocha wa timu ya taifa?
 
Connection hapo ipo tena logically maana katika post hiyo ulionyesha Amrouche alipewa shinikizo na watu uliowataja ila yeye haukumpa lawama yoyote ile. Kwa maana nyingine post yako ilikuwa inamsafisha kwa tuhuma za namna hii.

Na pia nimekuuliza mnatumia vigezo gani kusema Amrouche alimkataa Mzize wakati aliitwa katika kikosi cha awali lakini hakuitikia wito akaendelea na mazoezi kwenye kambi ya Yanga? Mbona hilo hamliongelei? Nani alimkingia kifua Mzize hadi akakataa wito wazi wazi bila kuchukuliwa hatua?
Hopeless.
 
hv kuna nchi inaandaa makocha wa timu ya taifa?
Kwani wale akina Song na yule wa Senegal waliokotwa mkuu? Kwa watu waliopo Seriou, huandaa professional footballers wao waliokutana na makocha wengi na tofauti ili wawe makocha wa Timu zao za Taifa bro. Mafanikio ni Mchakato.
 
Back
Top Bottom