SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Connection hapo ipo tena logically maana katika post hiyo ulionyesha Amrouche alipewa shinikizo na watu uliowataja ila yeye haukumpa lawama yoyote ile. Kwa maana nyingine post yako ilikuwa inamsafisha kwa tuhuma za namna hii.Huu Ushahidi wako Logically una connection yoyote ile ya Mimi ama Kumkubali au Kumkataa Kocha Mkuu Mpuuzi wa Taifa Stars Adel Amrouche?
Kwanini huwa mnaoenda Kunilazimisha GENTAMYCINE niwe Nawadharau kwakuwa hamna Akili?
Na pia nimekuuliza mnatumia vigezo gani kusema Amrouche alimkataa Mzize wakati aliitwa katika kikosi cha awali lakini hakuitikia wito akaendelea na mazoezi kwenye kambi ya Yanga? Mbona hilo hamliongelei? Nani alimkingia kifua Mzize hadi akakataa wito wazi wazi bila kuchukuliwa hatua?