Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

Hiyo ni economic war kwa wakenya jamaa kafanya upotoshaji wa hali ya juu.

View attachment 2650957

Wanachopewa ni exclusive rights za kuboresha, ku-manage (kusimamia uongozi), au ku operate (kusimamia shughuli zote) katika miradi iliyoorodheshwa kwenye appendix 1, phase 1.

View attachment 2650960

Appendix 1, phase 1 ni maeneo ya bandari ya Dar pekee yaliyo orodheshwa hapo sio nchi nzima. Sasa yeye katoa wapi Hizo habari za port za nchi nzima.

Maria Space nimejaribu kuingia mara kadhaa yaani 95% ya hoja zao ni upuuzi mtupu na kulalamika mambo ambayo hayana kichwa wala miguu.

View attachment 2650965

25 (3) inaelezea kwenye kuingia HGA agreement watazingatia project activities zote pamoja na zingine za awali (ambazo kama walifanya) kuwa katika mikataba kitu ambacho hakipo maana mpaka sasa hakuna walichowekeza.

Definition ya project activities imewekwa katika muhtasari wa definitions juu kabisa.

Ni mapoyoyo tu yamejazana Twitter yanajazana ujinga; na wakenya wenye lengo la ku sabotage huu uwekezaji na scaremongering stories zisizo na kichwa wala miguu.
Hii mizwazwa, inaipita posti yako, halafu inakomenti ujinga mtupu, basi ionekane inapinga wala hata hawajui wanachopinga
 
Napinga hii kitu maana najua kusoma na kuandika
Wewe mbung'o unajua hata unachokipinga?
Weka hapa unapinga nini, sio mnamezeshwa mataputapu tu halafu mnacheua shombo kwa kuwa na akili kisoda
 
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.

Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa

2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.

3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)

4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.

Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Suala la DP World limeibua wanasheria wengi uchwara na wanafurahisha kweli. Hayupo hata mmoja anayejiita mwanasheria wa wasiwasi wote ni wasomi mahiri!.

Hakuna uchukuaji wa bandari zote, huyu mwekezaji anachukua asilimia nane tu ya eneo zima la bandari.
 
Huo "mkataba wa bandari" uko wapi?
Wewe Kijakazi wa Mwarabu.

Ni kwanini mlimfukuza Mwarabu Zanzibar?

Na mnampigania aje Tanganyika.
Kwanini hamu mpiganii arudi Zanzibar aendeleze Uislamu na Misikiti?

Nendeni Dubai muka muombe radhi.

Nyinyi Waisilamu ndio mliomfukuza Mwarabu kwa risasi. mliwaua hadi Waarabu wasio na hatia.

Kwa mujibu wa Mzee Saidi Muhammedi.

Mwarabu hana nafasi Tanganyika. Akifosi kuja kitakachompata hatasahau maishani mwake. Atakimbia mwenyewe.

Wapimbi nyie.
 
Back
Top Bottom