Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajadiliwa bungeni, kwa mara ya kwanza jatika historia.
tunataka nini zaidi ya hilo?
Wengi humunwsnsoigs kelele bila hata ya kuusoma na kuulewa mkataba.
Wengi humu wanapayuka kufata mkumbo tu bila hata ya kuelewa ni nini maana ya biashara, licha ya za kimataifa.
Unaamini yeye hajui kusoma? Mtu wako wa karibu akikushauri uuze nyumba yako kwa bei ya hasara, tatizo ni huyo mtu wako au wewe?Hivi kisheria hairuhusiwi kumshataki aliye mshauri vibaya Mh Rais?
Katibu mkuu kiongozi(ikulu)na DGI wamenyofolewa walikataa katakata.Waliopaswa kumshauri Mh. Rais kwenye hili wamempoteza sana. Watimuliwe wote, kazi ya kushauri sio kusema ndio ndio kila kitu.
Hakuna nchi au au mfanyabiashara wa kimataifa leo hii duniani asiyependa au kutamani kuungana kibiashara na Emirates of Dubai.
Nimemkumbuka MREMA aliwahi shauri NCHI iuzwe kila na kila MTANZANIA agaiwe hizo pesa!wauze tu! Wauze hata bahari! Vibua na Kole Kole tutaagiza China
Hii Tanzania sasa ndio imekuwa ya kwanza na raia ndio wenye nchi.Hakuna nchi au au mfanyabiashara wa kimataifa leo hii duniani asiyependa au kutamani kuungana kibiashara na Emirates of Dubai.
Mama ye.Ngoja waje,ngoma nzito hii,kuna maslahi ya watu flani hayajazingatiwa,ndio maana mayowe tupu
Alafu unawasikia wajinga wanakuja maneno ya ajabu, Msigwa jieshim , kitenge jieshim, top ten ya uongonzi wa nchi jieshim , Bunge jieshim , machawa wote jieshim , hii kama una akili kwa maneno ya huyu bwana machozi yatatoka , hata hapa mda huu machozi yametoka , why mnalifanyia taifa hivi , au hii ndo kula kwa urefu wa kama,Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
YeeMama ye.
Jifunze kutafakari jambo lililoko mbele yako,acha kukurupukaMaslahi ya nani? Acheni kupotosha raia...Hata kama ndivyo, hao wenye maslahi Mungu amewatumia ili kuokoa wengi...
Kwanini niwaze ya mbele wakati ya leo tu kizunguzungu?Jifunze kutafakari jambo lililoko mbele yako,acha kukurupuka
Mkataba tunaweza uvunja halafu wakatushitaki tukishindwa tutalipa kuliko kuukubari na baada ya hapo wahuska wote ndani,tunatakiwa kua na maamuzi magumu wakati mwingine bila kuoneana aibu,Waliopaswa kumshauri Mh. Rais kwenye hili wamempoteza sana. Watimuliwe wote, kazi ya kushauri sio kusema ndio ndio kila kitu.
Sasa wewe mwenyewe huoni udhaifu wake hata katika kuwapata hao washauri? Anatafuta washauri wanaoitikia ndio ndio?Hawezi kuwa mtaalamu wa kilakitu, ndio maana anazungukwa na wataalamu. Lakini kama wao ni waty wa kusema ndio kilakitu wanapoteza maana ya kuwepo pale.