Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

Tuanze na waandishi wanaotetea huu ujinga then tutamalizana na wanaouza nchi yetu ya wajukuu wetu
 
Hiyo ni economic war kwa wakenya jamaa kafanya upotoshaji wa hali ya juu.

BB853F8D-8F56-49A7-B163-5D58A7BACA4C.jpeg

Wanachopewa ni exclusive rights za kuboresha, ku-manage (kusimamia uongozi), au ku operate (kusimamia shughuli zote) katika miradi iliyoorodheshwa kwenye appendix 1, phase 1.

A86F6E26-B004-4839-9308-DCBE76089944.jpeg

Appendix 1, phase 1 ni maeneo ya bandari ya Dar pekee yaliyo orodheshwa hapo sio nchi nzima. Sasa yeye katoa wapi Hizo habari za port za nchi nzima.

Maria Space nimejaribu kuingia mara kadhaa yaani 95% ya hoja zao ni upuuzi mtupu na kulalamika mambo ambayo hayana kichwa wala miguu.

CB46B1E2-8C25-4EA9-ACDA-A0A6AF34873D.jpeg

25 (3) inaelezea kwenye kuingia HGA agreement watazingatia project activities zote pamoja na zingine za awali (ambazo kama walifanya) kuwa katika mikataba kitu ambacho hakipo maana mpaka sasa hakuna walichowekeza.

Definition ya project activities imewekwa katika muhtasari wa definitions juu kabisa.

Ni mapoyoyo tu yamejazana Twitter yanajazana ujinga; na wakenya wenye lengo la ku sabotage huu uwekezaji na scaremongering stories zisizo na kichwa wala miguu.
 
Hakuna sehemu yeyote inayotaka tubadili sheria hili ku accommodate huo mkataba, ni story za kutunga.

Such a gullible society, easy to deceive and sway their opinion; even if the facts are in front of them.
 
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.

Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa

2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.

3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)

4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.

Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Nimependa " ni kama vile aliyefanya negotiation alikuwa holiday Dubai"
 
Awamu hii ya serikali ni watupu sana kwenye Mambo ya sheria vitu vingi wanavamia kichwa kichwa na pia tunakuomba ewe mama achana na katiba yetu nyie ni dhaifu sana kwenye Mambo ya sheria ona mkataba kama huo mmepigwa hakuna tunachotegemea kwenu

Tayari mmesha feli na nia yenu kwa Tanzania ni mbaya. Tunaomba Mungu atupe kiongozi shupavu na shujaa mwenye Nafsi.

Picha yako ilivyo wekwa pale dubai wajanja tulishajua kuwa tumepigwa
wanaamini wakipeana vyeo wao kwa wao ndiyo wanaleta maendeleo kumbe vilaza ni wengi ndani ya ccm
 
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.

Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa

2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.

3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)

4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.

Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Kuna haja ya kuwashambulia mawaziri wengine kwa mawe na kuwachoma moto kama vibaka
 
Mimi sijui mnapiga makelele ya nini ,mbona mimi sioni cha ajabu hasa ukizingatia siitegemei serikali tangu mdogo na sijawahi itegemea na sitoitegemea nadhani mnaopiga kelele hamjaelewa kuwa walioingia mkataba huo ni kwa maslahi yao na familia zao siyo kwaajili yenu na familia zenu.

Tafuteni nafasi ya kusaini mikayaba yenu kwa faida yenu na familia zenu siyo kupiga makelele wakati hamna nafasi ya kusaini mikataba,shit!!
 
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.

Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa

2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.

3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)

4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.

Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Kwa hili mama asiongezewe tena muda.
 
Hawezi kuwa mtaalamu wa kilakitu, ndio maana anazungukwa na wataalamu. Lakini kama wao ni waty wa kusema ndio kilakitu wanapoteza maana ya kuwepo pale.
Ina maana hata muda wa mkataba, mpaka aambiwe na wataalam , ni kwamba hakusoma?
 
Hakuna nchi au au mfanyabiashara wa kimataifa leo hii duniani asiyependa au kutamani kuungana kibiashara na Emirates of Dubai.
Hakuna mwenye tatizo na hilo, ila mkataba uwe na maslahi ya umma. Kama haya yanayosemwa huku mitandaoni yako kwenye huo mkataba kweli, acha hao wanaojivunia/kutamani kuungana kibiashara na hao Emirates waendelee kimpango wao.
 
Ishapitishwa hiyo, wanasubiria tu Bunge limaliza kazi yake, wamshughulikie aliyevujisha mkataba uliopaswa kuwa siri
 
Ngoja waje,ngoma nzito hii,kuna maslahi ya watu flani hayajazingatiwa,ndio maana mayowe tupu
Maslahi ya nani? Acheni kupotosha raia...Hata kama ndivyo, hao wenye maslahi Mungu amewatumia ili kuokoa wengi...
 
Back
Top Bottom