EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
We ajuza ulishakimbia nchi, yakwetu hayakuhusuUongo. Mtupu, ni chuki za ubaguzi tu naona Karamagi ksungsna na Sukuma gang kupinga maendeleo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ajuza ulishakimbia nchi, yakwetu hayakuhusuUongo. Mtupu, ni chuki za ubaguzi tu naona Karamagi ksungsna na Sukuma gang kupinga maendeleo.
Swala sio kuungana ishu ni namna gani unafaidika na huo muunganikoHakuna nchi au au mfanyabiashara wa kimataifa leo hii duniani asiyependa au kutamani kuungana kibiashara na Emirates of Dubai.
Ina maana ww Bibi hata kusoma hujui. Ushungi umekuziba Hadi ubongo?Uongo. Mtupu, ni chuki za ubaguzi tu naona Karamagi ksungsna na Sukuma gang kupinga maendeleo.
Si unajadiliwa bungeni, kwa mara ya kwanza jatika historia.Hakuna mwenye tatizo na hilo, ila mkataba uwe na maslahi ya umma. Kama haya yanayosemwa huku mitandaoni yako kwenye huo mkataba kweli, acha hao wanaojivunia/kutamani kuungana kibiashara na hao Emirates waendelee kimpango wao.
Umekurupuka mno mnoHakuna sehemu yeyote inayotaka tubadili sheria hili ku accommodate huo mkataba, ni story za kutunga.
Such a gullible society, easy to deceive and sway their opinion; even if the facts are in front of them.
Kila mtu anataka aongee na asikilizwe, nchi hii inakwama vichwani na sio katika maongezi wala utekelezaji.Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Hakuna anayekataa uwekezaji, tunapenda sana uwekezaji, lakini hatutaki mikataba ya Kimangungo kwenye huo uwekezajiKila mtu anataka aongee na asikilizwe, nchi hii inakwama vichwani na sio katika maongezi wala utekelezaji.
Yule Mama kiongozi wa wafanyabiashara kashauri na TAZARA na yenyewe itazamwe kwa umakini zaidi sio bandari tu.
Mpaka tunafikia hatua ya kuona wageni wanaweza kuwa na tija maana yake sisi wenyewe tupo hovyo sana katika uendeshaji na usimamizi.
Wanasheria wa kwako wanafanya kazi gani mpaka ikubalike hiyo mikataba?. Dunia haikusubiri wewe upate akili na uamke, yenyewe inasonga mbele kila kukicha.Hakuna anayekataa uwekezaji, tunaprnda sana uwekezaji, lakini hatutaki mikataba ya Kimangungo kwenye huo uwekezaji
Kama vile hayati JPM alivyojaza wasukuma wenzako kila taasisi nyeti ya serikali.Amejaza waislamu wenzake ndiyo washauri wakuu
We dada huna akili hata kidogo, sisi hata wakati wa marehemu tulisema wazi. Shame on youKama vile hayati JPM alivyojaza wasukuma wenzako kila taasisi nyeti ya serikali.
Ikiwa mlifurahia kuona wajomba na mashangazi zenu wakiifurahia awamu ya tano, muwe wapole kuona awamu ya sita wakiifurahia wapemba na waunguja. Kula ni kwa zamu.
Wapi?Umekurupuka mno mno
Yaani huyu mama huyu, 2025 sikubali aiseeMwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Mapovu hayakusaidii bibi mdogo, Kusema sio hoja, unaweza kurudia ujinga ule ule kila awamu.We dada huna akili hata kidogo, sisi hata wakati wa marehemu tulisema wazi. Shame on you
Akina mama wenzako wana akili lakini sijui kwanini wewe hunaMapovu hayakusaidii bibi mdogo, Kusema sio hoja, unaweza kurudia ujinga ule ule kila awamu.
Waliopaswa kumshauri Mh. Rais kwenye hili wamempoteza sana. Watimuliwe wote, kazi ya kushauri sio kusema ndio ndio kila kitu.