imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
🤣🤣😂Ni mapoyoyo tu yamejazana Twitter yanajazana ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣😂Ni mapoyoyo tu yamejazana Twitter yanajazana ujinga
Na huo ndio ugonjwa wa viongozi wengi.Sasa wewe mwenyewe huoni udhaifu wake hata katika kuwapata hao washauri? Anatafuta washauri wanaoitikia ndio ndio?
Tunamzungumzia huyu, hao wengi hatuwajui.Na huo ndio ugonjwa wa viongozi wengi.
Shida nafasi nyingi SERIKALINI siyo competence based BALI seniority based....Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Watu pekee ambao wangesaidia tusifike huko walikuwa ni wabunge wetu wakati wa kuratify mkataba kwa sababu ambazo mpaka sasa sizijui ulipitishwa kwa kishindo huku waliojaribu kuukosoa hoja zao zikiwa interrupted na kila mgonga meza.Imeenda hiyoKama mmemfahamu vizuri huyo expert ni kuwa Mkataba tayari umesainiwa na hakuna chocgote kinachoweza kufanyika. Dubai itaendesha ports zote za Tanzania kwa miaka isiyojulikana. Tanzania yaweza kuuutangua mkataba huu hivi sasa, lakini watashtakiwa na walipe mabilioni. Wakishindwa, ndege zao zikamatwe, kama zilivyokamatwa ndege kadhaa hivi sasa kwa ujinga wa wanasiasa wa nchi hii wenye 'Udaktari' wa kununua usio hata na thesis moja.
Pumbafu nchi hii.
Competence inapatikanaje bila seniority? Hiki ndicho kituko kingine, utaondoa tatizo Moja unaleta 1000 zaidi...Ili kupata competent people lazima seniority ihusike. So tutengeneze carrier growth strategies Ili Kila mwenye capacity aweze ku grow through carrier path yake. Na tuache ujinga wa kuwatenegenezea watu CV Kwa appointments ambazo haziwajenhei capacity wala kuwapa exposureShida nafasi nyingi SERIKALINI siyo competence based BALI seniority based....
Issue SENSITIVE ilipaswa wangeenda WANASHERIA BOBEVU na siyo hawa ndugu zetu ambao ni SENIORS kwa kuwa na miaka mingi SERIKALINI badala ya skills....
Mtanisamehe ila WATUMISHI WENGI SERIKALINI NI WAVIVU NA WAMERIDHIKA....
Leo unaweza kuta MTUMISHI wa UMMAH asubuhi amelewa na yupo kazini jambo ambalo huwezilikuta kwenye reputable private entity.
Mungu atunusuru na hili Janga..... tubadili mifumo ya utumishi wa UMMAH..... Hivi vitu ni kutokana na kuwa na WATENDAJI mizigo kwenye ofisi za UMMAH!!!!
Bahati mbaya na sheria zetu za adhabu nazo ni vipofu!!!!
Skills development SERIKALINI ni shiiida!!! Hao wanasheria wa serikali wakitolewa kwenye hizo ofisi ni wachache sana watasurvive mtaani; many will die of hunger!!!!!
Mama yetu MPENDWA rekebisha kwa sheria na namna ya kuwa na WATUMISHI bora wa UMMAH!!! Kabla ya yote!!!
sio kweli, waislamu waabudu waarabu ndio mnashobokea waarabu, name any campony from Dubai that operates in Finland ?! Nil zero not one. Mataifa yanayojielewa hakuna wa kushobokea wavaa madela aka kanzuHakuna nchi au au mfanyabiashara wa kimataifa leo hii duniani asiyependa au kutamani kuungana kibiashara na Emirates of Dubai.
Ndugu huku ni kuruhusu kutawaliwa na mji wa Dubai na sio kuingia mkataba.Mimi sijui mnapiga makelele ya nini ,mbona mimi sioni cha ajabu hasa ukizingatia siitegemei serikali tangu mdogo na sijawahi itegemea na sitoitegemea nadhani mnaopiga kelele hamjaelewa kuwa walioingia mkataba huo ni kwa maslahi yao na familia zao siyo kwaajili yenu na familia zenu.
Tafuteni nafasi ya kusaini mikayaba yenu kwa faida yenu na familia zenu siyo kupiga makelele wakati hamna nafasi ya kusaini mikataba,shit!!
Ila kusema ukweli Kuna la kujiuliza ,Kwa nini inakuwa ngumu kubadili hata nukta Moja kwenye mkataba?Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIITushapigwaa... kama kawaida yetu.
Sema kuwa kutawaliwa na waarabu ohhhhhhhhhhhhhhh. Biashara ya utumwa hiyooooooooNdugu huku ni kuruhusu kutawaliwa na mji wa Dubai na sio kuingia mkataba.
Inawezekanaje Nchi ya Tanzania iuombe ruhusa mji wa Dubai ili iamriwe inatumiaje Bandari zake zote za Bahari, Mito ma Maziwa.
Hapo baadae wewe binafsi ukitaka kusafirisha mizigo yako kupitia Bahari lazima upate ridhaa toka mji wa Dubai.
Huoni huu ni Ukoloni Tulioupiga vita na kushinda huko nyuma ?
Hakuna mtu anayekataa mikataba wala uwekezaji.
Ilitakiwa Wanasheria wa Serikali wakae chini na kuurekebisha huo mkataba basi.
Ni Simpo tu.
Kigugumizi kinatoka wapi na ni kwanini?
Bibi yenu Mzenji kutapeliwa nchi🤣🤣Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Kibaya tushasahau kama ilivyo kawaida yetu wabongo now tunamuona nux tuZile 5m na 10m za goli la mama na dege ilikua danganya toto kujisafishia njia ya kuja kuanika agenda ovu.
Umeandika kwa confidence kweli huku ukiwa not informed kuwa sheria ya kulinda rasilimali aliyoipitisha Magufuli inarudishwa bungeni. Pole sana.Hakuna sehemu yeyote inayotaka tubadili sheria hili ku accommodate huo mkataba, ni story za kutunga.
Such a gullible society, easy to deceive and sway their opinion; even if the facts are in front of them.