Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
🚮🚮🚮Hiki chama kina watu wa ajabu sana!..
Yaani mkatae kushiriki uchaguzi wenyewe halafu wanaotaka mnataka kuzuia wasishiriki.
Hapo tume ina makosa gani si wamefanya mnachotaka.
🚮🚮🚮Hiki chama kina watu wa ajabu sana!..
Yaani mkatae kushiriki uchaguzi wenyewe halafu wanaotaka mnataka kuzuia wasishiriki.
Hapo tume ina makosa gani si wamefanya mnachotaka.
🚮🚮🚮Nimegundua asilimia kubwa ya wanasheria wa bongo wana ujuaji wa kitoto sana!
🚮🚮🚮Kuna muda ujinga nao ni msimamo!
Kama waanasema uchaguzi hautafanyika wakati hawashiriki uchaguzi! Huo ni msimamo au ujinga? 😁
Watazuia uchaguzi sio hawashirikihawashiriki bila mabadiko kwenye mfumo
Hayo mabadiriko mnayoyataka nyinyi hayatafanyika hivyo hamtashiriki uchaguzi mpaka 2030. Sasa Kailima amekosea wapi kuwa Chadema hawataweza kushiriki uchaguzi hadi 2030.Inachotakiwa na cdm ni mabadiliko. Hawawezi kuendelea kushiriki kwenye chaguzi za dhuluma, au tume wanasimamia sheria za dhuluma ili cdm wasishiriki?
Nshala TLS ilimshinda hivyo usomi wake hauna maana ni wa makaratasi tu.Sifa ya kwanza ya chadema,ni kuwa na wanasheria wasomi
Hapo ndio tunataka tufike mwisho wa kuwa na tume inayoundwa na mwenyekiti wa ccm, na haiwezi kushitakiwa popote. Dhuluma sasa zimefika mwisho. Subiri utaona usiyoyapenda.Hayo mabadiriko mnayoyataka nyinyi hayatafanyika hivyo hamtashiriki uchaguzi mpaka 2030. Sasa Kailima amekosea wapi kuwa Chadema hawataweza kushiriki uchaguzi hadi 2030.
Pia mjulisheni huyo mwanasheria wenu uchwara kuwa kwa mujibu wa sheria maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi hayapingwi popote hata mahakamani. Hivyo imetoka hiyo.
Reasoning yao kwa kweli ni taabu... lakini tusiwalaumu, labda ni waalimu wao ndio tatizo na labda hiyo fani imeingiliwa sana, yaani mtu akisoma katiba tu, tayari anajua kutafsiri...Nimegundua asilimia kubwa ya wanasheria wa bongo wana ujuaji wa kitoto sana!
Usichoelewa toka kwa wakili ni nini?CHADEMA wametamka hawadhiriki wao wenyewe kwa taratibu zilizopo
Wenzao wamekubali
Sasa huyo mwabasheria anataka nini?
Kilichosemwa na Chadema kimenyooka na kueleweka. Wanataka kushiriki uchaguzi kama kawaida lakini siyo kwa kanuni na sheria hizi na mfumo wake mzima wa uchaguzi ambao hauweki uwanja SAWA NA HAKI kwa kila chama.Hivi kumbe CHADEMA wamesema hawashiriki uchaguzi au mi ndio sielewi?? Bila kutumia jicho la CCM tujaribu kuelewa watanzania wengine wanasema nini, hawa wanasema bila mabadiliko ya sheria na taratibu za uchaguzi basi hakuna uchaguzi yaani ni Sawa na kazi bure, na wametoa ufafanuzi kuwa watashawishi watu wauzuie uchaguzi usifanyike. Yaani ukisema Kwa mfano, "sitaoa Hadi nijenge nyumba" je unamaanisha hutaoa??
Vyama vingine vimekubali huyo CHADEMA waendelee kusubiri tu hadi hayo matakwa yao yakija kufikiwa InshallahKilichosemwa na Chadema kimenyooka na kueleweka. Wanataka kushiriki uchaguzi kama kawaida lakini siyo kwa kanuni na sheria hizi na mfumo wake mzima wa uchaguzi ambao hauweki uwanja SAWA NA HAKI kwa kila chama.
wasiomuelewa wakili Rugemeleza ni au wana uwezo mdogo sana wa kufikiri au wengine ni wanufaika wa mfumo uliopo wa uchaguzi.
Alichokisema wakili hapo kipo wazi kisheria kwamba mkurugenzi a tume hana uwezo wa kukizuia chama kushiriki uchaguzi kwa sababu ya kusaini kuwajibika kwa maadili ya uchaguzi. Sasa kama mlurugenzi kaonesha kucheza rafu kwa Chadema kwa jambo dogo, masual makubwa atawafanyaje? Kimisingi Mkurugenzi ameonesha mfano wa msingi halisi wa Chadema kutaka mabadiliko ya tume na mfumo mzima.
Kwa hiyo "kukataa kushiriki" ndiko kuhalalishe upotoshaji?Hiki chama kina watu wa ajabu sana!..
Yaani mkatae kushiriki uchaguzi wenyewe halafu wanaotaka mnataka kuzuia wasishiriki.
Hapo tume ina makosa gani si wamefanya mnachotaka.
Wapi chadema wametamka hawashiriki.. (najua huwezi jibu)🤣Kichekesho hasa.CHADEMA wamesema hawagombei sasa chochote kinachohusu huo uchaguzi kiwe sawa kisiwe sawa kwa wanaoshiriki it is non of his business
Chadema mmebaki na midomo michafu tuu.Ubongo wako haufanyi kazi?? ni kama umepigwa shoti.
Unajua chadema wangesema wanataka reforms kwanza ndipo UCHAGUZI ufanyike kipi hujakielewa ? Ni either mama Samia akubali reforms muda still upo.
Ukiendelea kushupaza shingo ni sawa na kujipiga kidole / kujikuna sehemu za Siri na kunusa vidole vyako.
Sawa basi nendeni mkaombe fomu msaini, kelele za nini?Wapi chadema wametamka hawashiriki.. (najua huwezi jibu)🤣
Walisema lini? Uko nchi gani?Kichekesho hasa.CHADEMA wamesema hawagombei sasa chochote kinachohusu huo uchaguzi kiwe sawa kisiwe sawa kwa wanaoshiriki it is non of his business