PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Tume ilikosea kusema CHADEMA haina haki ya kushiriki kwenye Uchaguzi. Kailima ajitokeze hadharani kufuta kauli yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima alisema kuwa CHADEMA kwa kuwa hakikusaini kanuni za maadili basi kilipoteza sifa ya kushiriki kwenye uchaguzi.

Soma pia: Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: CHADEMA hawakuwalisha maoni, hatuna taarifa rasmi ya kususia kwao

Leo, Nshala alisema kuwa kauli hiyo ni potoshi na propaganda chafu na kwamba Mkurugenzi huyo anatakiwa ajitokeze hadharani aombe radhi kwa kauli hiyo

"Alichokifanya Kailima kwa niaba ya ile inayojiita tume huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa hali ya juu wa kanuni zenyewe walizosema wamesaini na kwa mujibu wa wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sifa za vyama kugombea na kushiriki zimeainishwa na Katiba na kutosaini kanuni za maadili si sababu ya kupoka hazi za vyama kushiriki. Tuliona ni propaganda mbaya lakini bahati mbaya ilifanywa na tume"

"Kile ambacho kimefanywa na Kailima ilikuwa ni propaganda chafu na kama dhamira zao bado zi hai na kama akili zao zinafanya kazi, wafute hilo tamko. Kailima amekosea na kama alivyonukuliwa kwenye vyombo vya habari kwamba CHADEMA haina haki ya kushiriki, madhali amesema hayo, afute kauli hiyo"

Kailima keshasema hadharani kama alikosea CHADEMA ndio iende Mahakamani kutaka haki ya kupigiwa kura
 
Yuko sahihi
Lakini CHADEMA watakuwa akili hazimo njia rahisi straight ilikuwa kusaini na maisha yanaendelea.Sasa wao wanaka njia ndeeefu ya mzunguko waende mahakamani wapoteze muda wao na pesa kudai haki ya kupigiwa kura ambayo ingepatikana simply kwa kusaini tu

Hazimo kichwani
 
Hivi kumbe CHADEMA wamesema hawashiriki uchaguzi au mi ndio sielewi?? Bila kutumia jicho la CCM tujaribu kuelewa watanzania wengine wanasema nini, hawa wanasema bila mabadiliko ya sheria na taratibu za uchaguzi basi hakuna uchaguzi yaani ni Sawa na kazi bure, na wametoa ufafanuzi kuwa watashawishi watu wauzuie uchaguzi usifanyike. Yaani ukisema Kwa mfano, "sitaoa Hadi nijenge nyumba" je unamaanisha hutaoa??
Yaani UELEWA wa Watanzania wengi ni tatizo ,wamejikita kwenye ushabiki.Asant kwa ufafanuzi mzuri.
 
Chadema mmebaki na midomo michafu tuu.
Mmeachwa mfanye mnachotaka, sasa mnatukana ili iweje?
Name: Rugemeleza Albert Kamuhabwa Nshala
Nationality: Tanzanian
Sex: Male
Date of Birth: June 19, 1966
Place of Birth: Bukoba, Tanzania
0659 081124
EDUCATION:
2005— May 2012: Juridical Science Doctor (S.J.D): Harvard Law School, Cambridge, Massachusetts, USA:
-Researched and wrote a dissertation on mining industry legal and taxation framework reforms: in sub-Saharan Africa. Dissertation entitled Dispossession Through Liberalization: How sub-Saharan African Nations Lost Sovereignty Over Mineral Resources»

2004-2005 & 2006- 2007: Masters of Environmental Management (MEM): Yale School of Forestry and Environmental Studies, New Haven, Connecticut, USA.

1996-97: Masters of Laws (LL.M) Harvard Law School, Cambridge, Massachusetts, USA.

1989-1993: Bachelor of Laws LL.B (Honors) University of Dar es Salaam, Dar es Salaam Tanzania.

PROFESSIONAL EXPERIENCE:

Chairperson of the Board of Directors: Tanzania Land Alliance (TALA) (a legal-coalition of Tanzanias Land-related CSOs: December 2015 ---todate

Executive Director, Lawyers Environmental Action Team (LEAT) a public interest environmental law organization, Dar es Salaam, Tanzania; December 15, 2012 to the present.

Managing Partner, Rugemeleza Nshala Advocates, Legal Consultants, Commissioners for Oaths and Notary Public, Dar es Salaam Tanzania, 2001 to the present.

Continuous Legal Education (CLE) Trainer: Oil, Gas, and Minerals Legal Regimes: Law Society of Kenya; October 17 2014 Nairobi Kenya

Continuous Legal Education (CLE) Trainer: Oil, Gas, and Minerals Legal Regimes: Law Society of Kenya; August 15 2014 Mombasa Kenya

Continuous Legal Education (CLE) Trainer: Oil, Gas, and Minerals Legal Regimes: Law Society of Kenya; January 17, 2014 Mombasa Kenya

Lecturer: The Regional Extractive Industries Knowledge Hub Second Summer School Governance in Oil, Gas and Mining Revenues, Ghana Institute of Managmeent and Public Administration (GIMPA). Taught: International Environmental Law; Extractive Industry, Climate Change, and State Obligation under Current International Law; Extractive Industry Investment Contract Negotiation and Renegotiation, and Environmental Law, Accra, Ghana August 3-4, 2011 and July 18-26, 2012.

Lecturer, The Extractive Industry Capacity Building Training Workshop in Tanzania, organized by Publish What You Pay Coalition in Tanzania (PWYP-T), Bagamoyo, January 26 & 29, 2011.

Lecturer: The Regional Extractive Industries Knowledge Hub Second Summer School Governance in Oil, Gas and Mining Revenues, Ghana Institute of Managmeent and Public Administration (GIMPA). Taught Extractive Industry Investment Contract Negotiation and Renegotiation and Environmental Law Accra, Ghana July 12 -23, 2010.
 
No Reform No Electiin ni porojo tu kama zilivyo porojo zingine na Lissu, hajashtakiwa kwa hizo porojo!

Lissu, kashtakiwa kwa kuchochea uasi na ushahidi ni huu hapa!..

Tunawakumbusha tu UFIPA kuwa hamytaweza kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 na ule wa serikali za mitaa 2029

Kwa sasa endeleeni kuangalia Maria Sarungi anavyokunya juu ya kaburi la chama chenu!...
Name: Rugemeleza Albert Kamuhabwa Nshala
Nationality: Tanzanian
Sex: Male
Date of Birth: June 19, 1966
Place of Birth: Bukoba, Tanzania
0659 081124
EDUCATION:
2005— May 2012: Juridical Science Doctor (S.J.D): Harvard Law School, Cambridge, Massachusetts, USA:
-Researched and wrote a dissertation on mining industry legal and taxation framework reforms: in sub-Saharan Africa. Dissertation entitled Dispossession Through Liberalization: How sub-Saharan African Nations Lost Sovereignty Over Mineral Resources»

2004-2005 & 2006- 2007: Masters of Environmental Management (MEM): Yale School of Forestry and Environmental Studies, New Haven, Connecticut, USA.

1996-97: Masters of Laws (LL.M) Harvard Law School, Cambridge, Massachusetts, USA.

1989-1993: Bachelor of Laws LL.B (Honors) University of Dar es Salaam, Dar es Salaam Tanzania.

PROFESSIONAL EXPERIENCE:

Chairperson of the Board of Directors: Tanzania Land Alliance (TALA) (a legal-coalition of Tanzanias Land-related CSOs: December 2015 ---todate

Executive Director, Lawyers Environmental Action Team (LEAT) a public interest environmental law organization, Dar es Salaam, Tanzania; December 15, 2012 to the present.

Managing Partner, Rugemeleza Nshala Advocates, Legal Consultants, Commissioners for Oaths and Notary Public, Dar es Salaam Tanzania, 2001 to the present.

Continuous Legal Education (CLE) Trainer: Oil, Gas, and Minerals Legal Regimes: Law Society of Kenya; October 17 2014 Nairobi Kenya

Continuous Legal Education (CLE) Trainer: Oil, Gas, and Minerals Legal Regimes: Law Society of Kenya; August 15 2014 Mombasa Kenya

Continuous Legal Education (CLE) Trainer: Oil, Gas, and Minerals Legal Regimes: Law Society of Kenya; January 17, 2014 Mombasa Kenya

Lecturer: The Regional Extractive Industries Knowledge Hub Second Summer School Governance in Oil, Gas and Mining Revenues, Ghana Institute of Managmeent and Public Administration (GIMPA). Taught: International Environmental Law; Extractive Industry, Climate Change, and State Obligation under Current International Law; Extractive Industry Investment Contract Negotiation and Renegotiation, and Environmental Law, Accra, Ghana August 3-4, 2011 and July 18-26, 2012.

Lecturer, The Extractive Industry Capacity Building Training Workshop in Tanzania, organized by Publish What You Pay Coalition in Tanzania (PWYP-T), Bagamoyo, January 26 & 29, 2011.

Lecturer: The Regional Extractive Industries Knowledge Hub Second Summer School Governance in Oil, Gas and Mining Revenues, Ghana Institute of Managmeent and Public Administration (GIMPA). Taught Extractive Industry Investment Contract Negotiation and Renegotiation and Environmental Law Accra, Ghana July 12 -23, 2010.
 
Kailima - kada mkongwe wa chama cha Mapinduzi ajitokeze aombe radhi watanzania kwa kauli yake hiyo ya upotoshaji.

Huyu eti ndiyo mtendaji mkuu wa ile inayoitwa Tume Huru ya uchaguzi - hivi kuna uchaguzi hapo ndugu zangu..
 
Talk of sending ‘mixed messages’ does it matter ilichofanya tume kuwaengua CDM ambao hawana mpango wa kugombea bila ya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi.

Huu muda iliyobaki nilitegemea kuona harakati za kuzuia uchaguzi maana hiyo ndio agenda yao ‘no reform, no election’.

If anything tume na MaCCM wamewarahisishia CDM Kazi yao wabaki na focus ya kuzuia uchaguzi (only they know how to).

Huku kulia lia ilichofanya tume kuwaengua ni ishara ya kutojitambua, kama ‘no reform, no election’ ilikuwa utani tu CCM inafanya kweli kuwaengua shughuli yao kupoka madaraka iwe rahisi zaidi come election day.
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima alisema kuwa CHADEMA kwa kuwa hakikusaini kanuni za maadili basi kilipoteza sifa ya kushiriki kwenye uchaguzi.

Soma pia: Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: CHADEMA hawakuwalisha maoni, hatuna taarifa rasmi ya kususia kwao

Leo, Nshala alisema kuwa kauli hiyo ni potoshi na propaganda chafu na kwamba Mkurugenzi huyo anatakiwa ajitokeze hadharani aombe radhi kwa kauli hiyo

"Alichokifanya Kailima kwa niaba ya ile inayojiita tume huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa hali ya juu wa kanuni zenyewe walizosema wamesaini na kwa mujibu wa wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sifa za vyama kugombea na kushiriki zimeainishwa na Katiba na kutosaini kanuni za maadili si sababu ya kupoka hazi za vyama kushiriki. Tuliona ni propaganda mbaya lakini bahati mbaya ilifanywa na tume"

"Kile ambacho kimefanywa na Kailima ilikuwa ni propaganda chafu na kama dhamira zao bado zi hai na kama akili zao zinafanya kazi, wafute hilo tamko. Kailima amekosea na kama alivyonukuliwa kwenye vyombo vya habari kwamba CHADEMA haina haki ya kushiriki, madhali amesema hayo, afute kauli hiyo"

Binafsi naona kama Chadema imekanywagwa pabaya kwenye Kidonda, hivyo wameamua kupiga yowe baada ya kuguswa pasipo stahili wakati wanacheza VANGA la No nini No nini. Sasa wewe unajua dhahiri kuwa Katiba inatamka kila mtu anahaki ya KUCHAGUA na KUCHAGULIWA ilikuaje chama chao kifanye kampeni ya kuzuia Uchaguzi ambao unatoa fursa kwa watu KUCHAGUA na KUCHAGULIWA.

Lakini kama walikua na lengo la Kushiriki Uchaguzi kwanini hawakwenda kusaini MAADILI YA UCHAGUZI?
Wao ndio wa kwanza kusema wanazuia uchaguzi wa mwaka huu?
Je walikua hawajui kuwa UCHAGUZI nchini upo kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?.
Hivi huyu Mwanasheria alikua hajui mbali na Katiba kutamka kuhusu uchaguzi huwepo na sheria ndogo na kanuni za kuufanya Uchaguzi huo kufanyika katika misingi inayokubalika na pande zote mbili?.
Mwanasheria alishindwa vipi kuwashawishi watu wake kwenda kusaini Maadili ya Uchaguzi?
Walitaka washiriki uchaguzi wakati gani ilhali hawajasaini sheria za mchezo?
Mbona wanawakataza wanachama wao kutangaza kugombea nafasi yeyote?
 
Kailima - kada mkongwe wa chama cha Mapinduzi ajitokeze aombe radhi watanzania kwa kauli yake hiyo ya upotoshaji.

Huyu eti ndiyo mtendaji mkuu wa Tume Huru ya uchaguzi - hivi kuna uchaguzi hapo ndugu zangu..
Kailima na Viongozi wa Chadema nani wanatakiwa wajitokeze hadharani kuomba radhi au kufafanua kuhusu kugomea uchaguzi.
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima alisema kuwa CHADEMA kwa kuwa hakikusaini kanuni za maadili basi kilipoteza sifa ya kushiriki kwenye uchaguzi.

Soma pia: Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: CHADEMA hawakuwalisha maoni, hatuna taarifa rasmi ya kususia kwao

Leo, Nshala alisema kuwa kauli hiyo ni potoshi na propaganda chafu na kwamba Mkurugenzi huyo anatakiwa ajitokeze hadharani aombe radhi kwa kauli hiyo

"Alichokifanya Kailima kwa niaba ya ile inayojiita tume huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa hali ya juu wa kanuni zenyewe walizosema wamesaini na kwa mujibu wa wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sifa za vyama kugombea na kushiriki zimeainishwa na Katiba na kutosaini kanuni za maadili si sababu ya kupoka hazi za vyama kushiriki. Tuliona ni propaganda mbaya lakini bahati mbaya ilifanywa na tume"

"Kile ambacho kimefanywa na Kailima ilikuwa ni propaganda chafu na kama dhamira zao bado zi hai na kama akili zao zinafanya kazi, wafute hilo tamko. Kailima amekosea na kama alivyonukuliwa kwenye vyombo vya habari kwamba CHADEMA haina haki ya kushiriki, madhali amesema hayo, afute kauli hiyo"

View: https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
 
Hapo ndio tunataka tufike mwisho wa kuwa na tume inayoundwa na mwenyekiti wa ccm, na haiwezi kushitakiwa popote. Dhuluma sasa zimefika mwisho. Subiri utaona usiyoyapenda.
Mfyuuu!!
 
Back
Top Bottom